Uchaguzi 2020 IGP Sirro: Tutawashughulikia walioandaliwa kufanya vurugu

Jamaa ni muongo wa kutupa hakuna yeyote yule aliyeandaliwa kufanya vurumai ni kubwabwaja tu na uzushi.
 
the Hague candidate
 
Reactions: BAK
Sirro huwezi ku deal na nguvu ya umma.
Wakiiba uchaguzi nguvu ya umma itawahusu.

Wakitaka kucheza na haki zetu katika uchaguzi huu nguvu ya umma itawahusu.

Shida iko wapi? Haki Kwanza.
 
Reactions: BAK
Kumbe,duh
 
hekaya za kaboka mchizi, amshughulikie shaka Kheri , mpwa wa Jiwe ndiye anahubiri kila siku chuki na uchochezi
 
Mimi sina chama lakini namiomba IGP atazame upya wanaoshusha bendera za wenzao kwani huu ni uanzilishi wa fujo.
Huyu IGP Sifuri ni sifuri kweli.
Wanaoshusha bendera,wanachama picha za Jiwe,wanaoongea kisukuma kwenye kampeni,mauaji ya kiongozi wa upinzani huko Singida,wanachoma ofisi za CHADEMA huko Arusha...nk nk hawaoni ila anaona maruerue tu na ndiyo anayoyaongelea hapa...
Kweli huyu mzee ni Sifuri kama jina lake lilivyo
 
Amemchukulia hatua gani OCD wa Hai?
Pia wake wa Ifakara,Kule Nyamongo na kwingine ambapo sijakuwa na taatifa, mwenye taarifa ajitolee kunijuza tafadhali kwa ajili ya kujihabarisha pamoja na kutunza kumbukumbu.
 
IGP sasa ni rasmi kada wa ccm
 
IGP sasa ni rasmi kada wa ccm
Mpenda haki popote ulipo jaribu kutunza kumbukumbu ya matukio ovu ya wahusika wote kadiri utakavyoweza kwa manufaa ya taifa letu,pia jaribu kuileta hapa juukwaani kwa kumbukumbu imara zaidi.
 
Pia wake wa Ifakara,Kule Nyamongo na kwingine ambapo sijakuwa na taatifa, mwenye taarifa ajitolee kunijuza tafadhali kwa ajili ya kujihabarisha pamoja na kutunza kumbukumbu.
IGP badala ya kutulia asitaafu kwa Amani amekazana kusaka jela kwa nguvu ngoja asitaafu akiwa jela endapo ataendelea kuibeba ccm kwa kuwapiga mabomu wapinzani
 
Unalipongeza jeshi la ccm kuwapiga mabomu wapinzani? Huo ndiyo ujinga mkubwa kupita wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…