Uchaguzi 2020 IGP Sirro: Tutawashughulikia walioandaliwa kufanya vurugu

Sirro hana uwezo wa kumtisha yoyote , tendeni haki ili amani iwepo , vinginevyo patachimbika
 
Siro haeleweki anasimamia nn. Polis wake wanaongoza kuchochea vurugu hasa kuchokoza wapinzani kwa kuvamia ngome zao kama walivyofanya arusha n tarime.
 
Shughulikia hao vibaraka wa mabeberu.
 
Nchi yeti haki imekosekana sana,siro amebaki kupiga mikwara mbuzi tu...polis wake wanaongoza kuchochea vurugu na chuki kwa kunambia ngombe za wapinzani na kuwabambikizia kesi..
 
IGP ANASEMA KUNA WATU WAMEANDALIWA KUFANYA VURUGU. HILI TAYARI NI KOSA LAKINI HACHUKUI HATUA! HALAFU ANASEMA WAKIBAINIKA WATACHUKULIWA HATUA! KWA HIYO ANATUDANGANYA HUYU ANA LAKE JAMBO!
 
Nikimkumbuka huyu mzee kwenye sakata la shisha yeye na Makonda huwa nacheka sana asee......Huyu mzee hajawahi kuwa na msimamo always yeye hupelekeshwa tu na wanasiasa..... Huo u-IGP kapewa kulinda vyeo vya watawala

Mwaka huu tutamshangaza..
 
Fununu zinasema vyombo vya ulinzi na usalama Jwtz, Polisi, Magereza na Uhamiaji,wameahidiwa kulipwa madai yao yote wanayoidai serikali kabla ya tarehe 28/10/2020,ili waweze kuiokoa Ccm kwenye uchaguzi Mkuu, maana wanasema hali si hali huko vyomboni,Usicheze na njaa, njaa inamlaza tembo chini na ukubwa wake.Kwa upande wangu nawashauri hata wakilipwa hiyo ni rushwa wasiwasaliti wananchi kwa kile watakachokiamua.
 
Wavue magwanda wavae jezi za ccm ijulikane moja kuliko kujifichia kwenye magwanda
 
Nchi yeti haki imekosekana sana,siro amebaki kupiga mikwara mbuzi tu...polis wake wanaongoza kuchochea vurugu na chuki kwa kunambia ngombe za wapinzani na kuwabambikizia kesi..
Yaani wanaharibu kabisa ladha na maana ya ushindani kwenye uchaguzi huu. Wagimbea wengi wako fair sana kama Arusha sikutegemea kabisa. Sasa wanapo waingilia kuchochea vurugu kuwafungulia makesikesi wanaharibu kilakituu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…