wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
So unakubali pia alichokifanya Hamza Ni sahihi.sijaelewa alidhulumiwaje madini?madini unatembea nayo mkononi?kama alikuwa anatembea nayo mkononi acha wayachukue.hana akili kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So unakubali pia alichokifanya Hamza Ni sahihi.sijaelewa alidhulumiwaje madini?madini unatembea nayo mkononi?kama alikuwa anatembea nayo mkononi acha wayachukue.hana akili kabisa
Kwahiyo hata chama chake walifanya makosa kumuamini?Kwa muonekano wa yule gaidi askari walifanya makosa kumuamini
Namwomba Mh.,aliyoyasema kwenye kuaga miili hiyo,aende pia awaambie na wale watakaokuwa wanaaga mwili wa Hamza kabla ya maziko ili nao wajifunze.Bila shaka jeneza lake litakapokuwa limefunikwa na ile bendera ya kile chama likiwa pia likibebwa na wale watu kwani alikuwa kamanda wao kule Mbeya na aliwajengea ofisi ya chama pia aliwasaidia sana kwenye kampeni kama wanavyokiri wenyewe.Heshima yake mpeni.Haki huinua Taifa,bali dhambi ni aibu kwa taifa,Ifike mahali Viongozi wetu wajue askari Wana ndugu na wanafamilia pia, IGP anapotamka mbele ya familia za wafiwa kwamba askari waliofariki walikuwa wazembe kuruhusu watu wa hovyo kuwasogelea nikuweka kovu miyoyoni mwa wazazi wa vijana hao.
Mtu mwenye silaha haitaji kukusogelea kukuua na hakuna Askari mwenye macho yakuscan silaha.
Lakini pia huyu mtu wa hovyo alikuwa anakula meza moja na viongozi wa nchi hii na hakina sehemu intelligence ya IGP na nchi imewahi kuwataadharisha wakae mbali naye, ameshiriki kampeni za Urais last year kwa mujibu wa clips zinazosambaa...huyu mtu wa hovyo utamjuaje kwa macho?
Nadhani Mzee Siro aina ya jeshi unalowaza lilishapitwa na wakati, wape moyo askari na wekeza kutengeneza jeshi lililojisimika kwa wananchi ili wananchi wakusaidie kupata taarifa. Hakuna jeshi linalojenga uadui na wananchi likafanikiwa, wananchi ndio jamii na Wana macho kila kona. Usiwaite jamii watu wa hovyo Wala usione Kama askari waliouwawa walikuwa wazembe
"Huwa nawaambia siku zote, usicheze na mtu wa hovyo hovyo, usimwamini kila mtu. Walipomuona huyu mtu wa hovyo hovyo Hamza anawasogelea, walijua ni Mtanzania wa kawaida, kumbe alikuwa na pistol na akafanya alichofanya."- IGP Simon Sirro katika ibada ya kuaga miili ya askari wanne
=========
IGP Sirro
Watanzania wenzengu, Kwa niaba yangu mwenyewe na kwa niaba ya Jeshi la Polisi niwape pole sana wafiwa nawapa pole sana waombolezaji hili tukio ni kweli ni kubwa lakini ndio kazi yetu sisi askari, lakini tukio kama hili linapotokea sisi Askari tuna kitu cha kujifunza, wananchi wana kitu cha kujifunza lakini pia wafiwa wana kitu cha kujifunza.
Watanzania wenzangu ukishakuwa na mtoto mhalifu, ukishakuwa na mtoto mwizi. ukishakuwa na mtoto gaidi, ukishakuwa na mtoto mwenye tabia mbayambaya, usiposhirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, maana yake kuna namna mbili Moja kubwa anaweza akaleta madhara kwa watanzia lakini pia anaweza akapoteza uhai wake yeye mwenyewe.
Sasa huyu Hamza aliyofanya kama ndugu zake wangewajibika vizuri leo tusingekuwa hapa sasa. Lakini watanzania wenzangu waele siku zote askari polisi na vyombo vingine vya usalama vipo kwa ajili ya kulinda Watanzania na ndio maana tumeapa kufa kwetu kwa risasi tumeapa kwa Amiri jeshi Mkuu hatuoni tabu juu ya hilo lakini watanzania wajue kuwa na sisis tuna familia zetu.
Kwa hiyo kuna kitu cha kujifunza kwamba ukishakuwa kwenye familia yako kuna mhalifu ujue wewe ni tatizo kwa Watanzania tulitegemea Watanzania wazae mtoto aje kuwa Waziri aje kuwa IGP aje kuwa Mwalimu, lakini ukizaa mtoto akawa mwizi akawa kaluwanja ni tatizo kwa Watanzania.
Lakini kwa wafiwa kuna kitu cha kujifunza, Askari wetu hawa hawakuwa gaidi, hawakuwa wezi, hawakuwa majambazi wamekufa wakiwa wanatetea watanzania hivyo kifo chao ni kwa heshima ya Watanzania wamekufa wakiwa wanalinda Watanzania kwa hiyo tusapate huzuni sana tuwaombee, tusipate huzuni sana kwa sababu walikuwa wanalinda Watanzania.
Lakini kwa Poliai ofsa na sisi viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama kuna kitu cha kujifunza kwa askari wetu hawa kufa kwa risasi kwa kupigwa na risasi kichwani. Siku zote huwa wanawaambia usicheze na mtu wa ovyo ovyo, usimwamini kila mtu hii yote ni kwa sababu ya imani, walipomuona huyu mtu wa ovyo ovyo Hamza anakuja walijua ni Mtanzania wa kawaida anakuja lakini kumbe alikuwa na pisto na akafanya alichofanya.
Lakini tumejifunza ukizubaa usilaumu jeshi, ukizubaa usilaumu serikali, askari mna mafunzo ya kutosha ni Hightime, tuna challange, tuna changamoto si kila mtu ni rafiki lakini niseme kwamba kama jeshi tumepoteza vijana wadogo sana sis ambao tunakaribia kustaafu tunaamini hawa ndio wangeendesha jeshi lakini kwa sababu ni sehemu ya maisha yetu askari ninaamini wale mnaobaki mnajifunza sasa si kila mtu anapenda Askari polisi, si kila mtu anapenda vyombo vya dola.
Wakati mwingine tunaambiwa tunatumia nguvu kubwa sana sio au hatutendi haki sio? Lakini yanapotekea hapa hatusikii mtu anasema habari ya haki ya polisi maana yake nini msiwe na Double Standard. Kazi hii ni ngumu sana mtu akiiona hivi anajua ni kitu rahisirahisi tu lakini kudeal na mhalifu sio jambo dogo!.
Sisi tuwaombee sana waliotangulia na sisi tuko nyuma yao tunafata. Na ninyi mliofiwa si kwamba mmefiwa peke yenu na sisi ni ssehemu ya tatizo pia kwa sababu vijana wetu wametangulia na kijana wetu wa SGA najua kazi yetu ni moja ndio maana huwa nasema sisis ambao tuvaa buti kazi yetu ni moja. Mhalifu anapotuoona hajui huyu ni wa kampuni binafsi anajua kazi yetu ni moja ni ya kulinda maani, na ndio maana huwa nasema acheni kubaguana sijui huyu ni wa kampuni ya ulinzi hapana kazi yetu ni moja kwa hiyo tuheshimiane.
Lakini wafiwa niseme tutajitahidi kwamba vijana wetu hawa wanapata haki zao, kama wana familia zao tutajitahidi kulingana ya kanuni zetu kuhakikisha wanapata haki zao niwashukuru sana asanteni sana.
Bongo nyossoKwa hyo uchunguzi kumbe umekamilika na kuwa HAYATI SHUJAA HAMZA n gaidi
Sasa IGP atuambie SHUJAA WA MIOYO YA WATU HAMZA kundi lake la kigaid Ni lipi tujue mapema
Bongo weledi n hovyo Sana ukiuliza ripot inayosapoti HAMZA n gaidi iko wapi hawana majibu
Hopeless IGP
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
IGP Sirro nawe mbona unawakumbatia askari wahalifu? Siku Hamza anafanya yake ilikuwa siku hiyohiyo Rais akikukumbusha vitendo visivyokubalika ndani ya polisi, mimi mara zote hukuona kama ni mwanasiasa tu na kada mzuri wa CCM."Huwa nawaambia siku zote, usicheze na mtu wa hovyo hovyo, usimwamini kila mtu. Walipomuona huyu mtu wa hovyo hovyo Hamza anawasogelea, walijua ni Mtanzania wa kawaida, kumbe alikuwa na pistol na akafanya alichofanya."- IGP Simon Sirro katika ibada ya kuaga miili ya askari wanne
=========
IGP Sirro
Watanzania wenzengu, Kwa niaba yangu mwenyewe na kwa niaba ya Jeshi la Polisi niwape pole sana wafiwa nawapa pole sana waombolezaji hili tukio ni kweli ni kubwa lakini ndio kazi yetu sisi askari, lakini tukio kama hili linapotokea sisi Askari tuna kitu cha kujifunza, wananchi wana kitu cha kujifunza lakini pia wafiwa wana kitu cha kujifunza.
Watanzania wenzangu ukishakuwa na mtoto mhalifu, ukishakuwa na mtoto mwizi. ukishakuwa na mtoto gaidi, ukishakuwa na mtoto mwenye tabia mbayambaya, usiposhirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, maana yake kuna namna mbili Moja kubwa anaweza akaleta madhara kwa watanzia lakini pia anaweza akapoteza uhai wake yeye mwenyewe.
Sasa huyu Hamza aliyofanya kama ndugu zake wangewajibika vizuri leo tusingekuwa hapa sasa. Lakini watanzania wenzangu waele siku zote askari polisi na vyombo vingine vya usalama vipo kwa ajili ya kulinda Watanzania na ndio maana tumeapa kufa kwetu kwa risasi tumeapa kwa Amiri jeshi Mkuu hatuoni tabu juu ya hilo lakini watanzania wajue kuwa na sisis tuna familia zetu.
Kwa hiyo kuna kitu cha kujifunza kwamba ukishakuwa kwenye familia yako kuna mhalifu ujue wewe ni tatizo kwa Watanzania tulitegemea Watanzania wazae mtoto aje kuwa Waziri aje kuwa IGP aje kuwa Mwalimu, lakini ukizaa mtoto akawa mwizi akawa kaluwanja ni tatizo kwa Watanzania.
Lakini kwa wafiwa kuna kitu cha kujifunza, Askari wetu hawa hawakuwa gaidi, hawakuwa wezi, hawakuwa majambazi wamekufa wakiwa wanatetea watanzania hivyo kifo chao ni kwa heshima ya Watanzania wamekufa wakiwa wanalinda Watanzania kwa hiyo tusapate huzuni sana tuwaombee, tusipate huzuni sana kwa sababu walikuwa wanalinda Watanzania.
Lakini kwa Poliai ofsa na sisi viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama kuna kitu cha kujifunza kwa askari wetu hawa kufa kwa risasi kwa kupigwa na risasi kichwani. Siku zote huwa wanawaambia usicheze na mtu wa ovyo ovyo, usimwamini kila mtu hii yote ni kwa sababu ya imani, walipomuona huyu mtu wa ovyo ovyo Hamza anakuja walijua ni Mtanzania wa kawaida anakuja lakini kumbe alikuwa na pisto na akafanya alichofanya.
Lakini tumejifunza ukizubaa usilaumu jeshi, ukizubaa usilaumu serikali, askari mna mafunzo ya kutosha ni Hightime, tuna challange, tuna changamoto si kila mtu ni rafiki lakini niseme kwamba kama jeshi tumepoteza vijana wadogo sana sis ambao tunakaribia kustaafu tunaamini hawa ndio wangeendesha jeshi lakini kwa sababu ni sehemu ya maisha yetu askari ninaamini wale mnaobaki mnajifunza sasa si kila mtu anapenda Askari polisi, si kila mtu anapenda vyombo vya dola.
Wakati mwingine tunaambiwa tunatumia nguvu kubwa sana sio au hatutendi haki sio? Lakini yanapotekea hapa hatusikii mtu anasema habari ya haki ya polisi maana yake nini msiwe na Double Standard. Kazi hii ni ngumu sana mtu akiiona hivi anajua ni kitu rahisirahisi tu lakini kudeal na mhalifu sio jambo dogo!.
Sisi tuwaombee sana waliotangulia na sisi tuko nyuma yao tunafata. Na ninyi mliofiwa si kwamba mmefiwa peke yenu na sisi ni ssehemu ya tatizo pia kwa sababu vijana wetu wametangulia na kijana wetu wa SGA najua kazi yetu ni moja ndio maana huwa nasema sisis ambao tuvaa buti kazi yetu ni moja. Mhalifu anapotuoona hajui huyu ni wa kampuni binafsi anajua kazi yetu ni moja ni ya kulinda maani, na ndio maana huwa nasema acheni kubaguana sijui huyu ni wa kampuni ya ulinzi hapana kazi yetu ni moja kwa hiyo tuheshimiane.
Lakini wafiwa niseme tutajitahidi kwamba vijana wetu hawa wanapata haki zao, kama wana familia zao tutajitahidi kulingana ya kanuni zetu kuhakikisha wanapata haki zao niwashukuru sana asanteni sana.
View attachment 1911814
Chadema wajiandae kwani nguvu zote huenda zitaelekezwa kwao.Mbona kama Vile ametangaza vita?
ni mwendo wa kuliana timing saivi au?
au mwandishi ndio kaiwasilisha vibaya?
View attachment 1911601
Huyu mzee ni wa kuweka pembeni tuMbona kama Vile ametangaza vita?
ni mwendo wa kuliana timing saivi au?
au mwandishi ndio kaiwasilisha vibaya?
View attachment 1911601
Sirro nini kimekukuta....kwa nini unaruhusu mauaji...hujatuambia nini kimetokea unarukia vitisho hii si sawa...Mbona kama Vile ametangaza vita?
ni mwendo wa kuliana timing saivi au?
au mwandishi ndio kaiwasilisha vibaya?
View attachment 1911601
Kwa Lugha nyingine ni kwamba IGP Sirro sasa ameshawatengenezea Biashara Wauza Majeneza Tanzania nzima kwa Kumaanisha kuwa Askari wake Watatuua Wananchi kama Kuku na Inzi kwani Hamza kawapandisha Hasira mno.Mbona kama Vile ametangaza vita?
ni mwendo wa kuliana timing saivi au?
au mwandishi ndio kaiwasilisha vibaya?
View attachment 1911601
Alipaswa kujihuzulu mara moja.Mbona kama Vile ametangaza vita?
ni mwendo wa kuliana timing saivi au?
au mwandishi ndio kaiwasilisha vibaya?
View attachment 1911601
Don't trust anyone.Ni kweli siyo kila mtu ni rafiki
"Wakati mwingine tunaambiwa tunatumia nguvu kubwa sana sio au hatutendi haki sio? Lakini yanapotekea hapa hatusikii mtu anasema habari ya haki ya polisi maana yake nini msiwe na Double Standard. Kazi hii ni ngumu sana mtu akiiona hivi anajua ni kitu rahisirahisi tu lakini kudeal na mhalifu sio jambo dogo!." .......... Hii kauli mbona kama Sirro anamjibu namba ile inayofuata baada ya 0?"Huwa nawaambia siku zote, usicheze na mtu wa hovyo hovyo, usimwamini kila mtu. Walipomuona huyu mtu wa hovyo hovyo Hamza anawasogelea, walijua ni Mtanzania wa kawaida, kumbe alikuwa na pistol na akafanya alichofanya."- IGP Simon Sirro katika ibada ya kuaga miili ya askari wanne