Huo mji kufa ni rahisi sana, kuondoa utalii tu.Sio kimandolu tu,Lemala,daraja mbili na Uzunguni bara bara ya blue stone,kwa week mbili mfululizo wameuawa watu watatu kwa kuchomwa visu na tatu mzuka,bara bara za uzunguni uporaji hufanyika mchana,Sijaona jitihada kuwadhibiti,Mbaya zaidi wameanza kugusa wageni.
Hakuna ugumu wowote Ar, kule kuna ushamba mwingi sanaMnalia na watu watatu kwenye pikipiki? Wakija panya road kama wa Dsm si mtajifungia ndani. Nilijuaga arusha ni wagumu kumbe hakuna kitu bora wanaume wa Dar tuu. Pambaneni
Walitengenezwa haswaaaMwanao ukimkosa mahabusu nenda kamtafute hospitalini ~~~~ Amos Makalla (mkuu wa mkoa Dar)
Baada ya hii kauli iliyopingwa na chadema, panya road wakaisha mitaani.
Shida ni kuwa kutembea nazo pia ni hatari.Unaachaje vocha na hela dukani?
Bora utoke navyo kuliko kuviachaShida ni kuwa kutembea nazo pia ni hatari.
Nimezoea huwa naacha ila nimejifunza .
Ana patikana wapi? Maana na leo huko kimandolu amesha fanya tukio ambalo ina semekana ni yeye... kuna wageni wame ibiwa mali zaowaap uyo jamàa Adam alikimbia na anatafutwa sana na Polisi kwa matukio ambayo aliyafanya...sisi ambaye tulikua tunaishi nae karb ndio tunaujua ukweli....shida chuga siasa na fitina ndio zimetawala!!!
Tukio lingine kwa wageni limefanyika Usiku huu huko kimandolu.Arusha ipi unayokaa wewe ? Matukio haya ya ujambazi yamekifthiri kila mahali . Watu wamepoteza ndugu zao pamoja na wengine kujeruhiwa alafu unakuja kuongea mashudu humu ndani . Kama hujapata athari ya haya yanayoendelea ni bora ukakaa kimya mzee
Is this WhatsApp number! Kama ni normal SMS, it is not an end to end encryptedTuma ujumbe huu kwa namba 0684111111 ni mawasiliano ya IGP Wambura utakua salama katika eneo lako. Taarifa zako ni siri hakuna atakaejuwa.