HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Huo mji kufa ni rahisi sana, kuondoa utalii tu.Sio kimandolu tu,Lemala,daraja mbili na Uzunguni bara bara ya blue stone,kwa week mbili mfululizo wameuawa watu watatu kwa kuchomwa visu na tatu mzuka,bara bara za uzunguni uporaji hufanyika mchana,Sijaona jitihada kuwadhibiti,Mbaya zaidi wameanza kugusa wageni.