DOKEZO IGP Wambura amrisha upesi Askari wako wa Kawe Police wamkamate upesi huyu Mfanyabiashara Cherehani wa Soko la Kawe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mliwa kiboga ajalalamika ila wewe au usikute ndio uliyetafunwa na cherehani? Mke wa mtu ni sumu ,ingekuwa mimi nimekukuta ndani nakuchinja nakufukia uwani.
 
Si wanasemaga hata yule aliyekuwa Mbunge wa kusini nae alichagua kukatwa mkono kuliko kuliwa kiboga. Kasingizia kuwa alipata ajali ambayo mpaka leo hakuna picha ya gari lililompatia ajali ya mkono.
Duh! hii ndo naipata leo kabisaa!
Kipindi kile baada ya Mudhihir Mudhihir baada ya kupata hiyo ajali watu wali link hili tukio na ile issue ya Zitto kutolewa Bungeni eti wazee wa kigoma ujiji na kule manyovu wamechukia so hasira zao ndo wakaamua wampgie kipapai mh make yeye ndo aliyegongelea msumari wa mwisho zzk afurushwe mjengoni.
 
Aisee halafu yeye ni mwislamu ,polisi wapo kimya ,mwenyekit wa mtaa CCM yupo kimya huku watu wakifilana
Umeitoa wapi hii? Kama hujui, ccm na polisi usiwategemee kuwa na maadili mema.
 



Lakini wamesema ni ndugu !

Hivi ndugu yako kama umemzoea huwezi muomba apike chai ?
 
Mliwa kiboga ajalalamika ila wewe au usikute ndio uliyetafunwa na cherehani? Mke wa mtu ni sumu ,ingekuwa mimi nimekukuta ndani nakuchinja nakufukia uwani.


Lakini ujue na wewe huponi [emoji123]

Damu ya mtu thamani yake aijuae Mwenyezi Mungu Muumba.

Imeandikwa;

“Apendae visasi mabaya hayataisha kwake “

Utafikiri wengine hawazini wala kufanya uasherati.

Hakuna aliyewahi kuua mtu akabaki salama hata afanye sirini itakuja kudhihirika tu.

Damu ya mtu inaongea.

Ondoa hayo mawazo na wengine wenye mawazo hayo kama unajipenda na bado unahitaji kuishi uendelee kufurahia ugali.
 
Unatetea malaya
 
Vijana hawaelewi maana ya kua Baba wa familia
 
Ukitaka kujua uchungu wa mke subiri ugongewe. Kwahiyo jamaa alienda kabisa, kwa mwanaume mwenzake kumla mke wa mwenzie. Bwana cherehani ana huruma sanaa.

Wenzake Mbeya, Iringa na mikoa mingine wanaua kabisa na kufukia au kutupa mtoni.
 
Mkiambiwa mke wa mtu ni sumu muelewe.yaana mke wa mtu halafu unataka kwenda kumgongea nyumbani kwa mume wake huyu jamaa hio adhabu aliyopewa ni ndogo sana
 
Mleta uzi, hongera sana kwa kutokuliwa kiboga. Nimesoma uzi huu na nimehitimisha kuwa you must be the victim.
 
Kwani alimbaka si walikubaliana

Wakikubaliana ulikuwepo?

Wanaume dhaifu bhana.

Unaweza kubaliana na Mali ya MTU pasipo mmiliki wa Mali hiyo?
Embu tumia Akili hata kidogo.

Mwanamke akishaolewa ni Mali ya MTU. Ndio maana kuna ndoa inayohalalisha umiliki na unapewa vyeti kama uthibitisho.

Sasa wewe unakubaliana vipi na MKE wa MTU pasipo mmiliki huoni kama kichwa chako ni hamnazo?
Mkipigwa Risasi mnaanza kutaka kuonewa huruma.

Wewe kama kweli unataka kukubaliana na MKE wa MTU, mfuate mumewe mwambie unataka kulala na Mkewe akikubali basi piga mzigo.

Sheria zipo wazi, usitamani MKE wa jirani yako, wala Mali yake, wala chochote alichonacho.
Sasa Kwa vile shetani anawarubuni hamjui hatari ya kuvunja hiyo sheria.
Mtauawa bila kujali serikali ipo au haipo
 
WAtu wa pembeni kupiga kelele bila mtendwa kwenda kufungua kesi na kutoa ushirikiano ni bure. We haya uloandika ungemweleza mtendewa ingesaidia sana na na roho yako ingesuuzika ila hujachelewa
 
she is a human being not something ana uhuru wake wa kuamua ndio maana nikasema mwanamke ndio mwenye makosa yeye ndio ilibidi aombe jwa mumewe kwamba ana jamaa yake binamu anamtinduaga fresh na kumridhisha sisi wanaume ni wawindaji daima huwezi kuta kitoweo kinajipendekeza ukakiacha
 
If another man is able to steal your woman from you,

She was never truly yours.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…