Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Ukiamua kula mke wa mtu kubaliana na kifurushi kinachokuja na mengineyo yaani kwa msisitizo tunaita 'combo pack'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee halafu yeye ni mwislamu ,polisi wapo kimya ,mwenyekit wa mtaa CCM yupo kimya huku watu wakifilana
Duh! hii ndo naipata leo kabisaa!Si wanasemaga hata yule aliyekuwa Mbunge wa kusini nae alichagua kukatwa mkono kuliko kuliwa kiboga. Kasingizia kuwa alipata ajali ambayo mpaka leo hakuna picha ya gari lililompatia ajali ya mkono.
Umeitoa wapi hii? Kama hujui, ccm na polisi usiwategemee kuwa na maadili mema.Aisee halafu yeye ni mwislamu ,polisi wapo kimya ,mwenyekit wa mtaa CCM yupo kimya huku watu wakifilana
Unaona sasa... Kumbe jamaa ni farler sana. Yaani anaweka kabisa na order ya chai yake anayoipenda ili amkamue vizuri mke wa mtu tena nyumbani kwake..... Halafu anaona ni bora apakwe vaseline njia ya haja kisha aingilziwe mashine.... Huyu ilikuwa sawa kukatwa masikio. Wewe unamtetea bure tu jamaa ni hopeless. Kwenda kumla mke wa mtu nyumbani kwa mumewe tena kwa mazoea ni dharau sana....
Soma vizuri kilichoelezwa.Lakini wamesema ni ndugu !
Hivi ndugu yako kama umemzoea huwezi muomba apike chai ?
Mliwa kiboga ajalalamika ila wewe au usikute ndio uliyetafunwa na cherehani? Mke wa mtu ni sumu ,ingekuwa mimi nimekukuta ndani nakuchinja nakufukia uwani.
Unatetea malayampaka mwanamke anafikia hatua ya kuanza kunyanduliwa na mwanaume mwengine jua tayari ww ni dhaifu sehemu flani kwa hiyo let her go to be happy kwanini niweke jealous kwa mwanaume mwenzangu wakati mm nimeshindwa kumtimizia hamu zake [emoji57] utagombana na wangapi [emoji5]
Vijana hawaelewi maana ya kua Baba wa familiaSigombani na MTU.
Vijana wa siku kuna mambo alafu madogo yanawashinda kuyaelewa.
Ukiwa kama mwanaume, unahitaji heshima, ukiwa kama Baba au mume hicho ni cheo cha utawala na mamlaka kama Rais au mfalme ndani ya familia yako.
Jukumu moja la Baba au Mume au Rais au Mfalme ni kulinda utawala wake kivyovyote vile.
Kulinda Watu wa familia yako na Mali zako ni jukumu lako kama Baba.
Kitendo cha MTU kuingia katika ufalme wako tena ndani kabisa ya mipaka yako, nyumbani kwako akalala na Mkeo (akakuibia penzi lako) hiyo ni zaidi ya dharau.
Kumuadhibu mwizi wa penzi lako sio kwaajili ya Mkeo Bali ni kwaajili yako mwenyewe kama Mtawala.
Ndio maana ukaambiwa MKE wa MTU sumu.
Ukiona MTU unamlia MKE wake alafu akakukaushia basi elewa kuwa MTU huyo Hana Pesa, ni mdhaifu na mnyonge, Hana cheo wala mamlaka, na Pia Hana asili ya uanaume yaani hajiamini.
Nenda Kwa Watu wakubwa au wenye hadhi katongoze Wake zao utaelewa vizuri nini kitatokea
Afu mnajifanya kupinga ushoga, ilihali mnaupenda na kuuwaza lolKwa hiyo jamaa alichagua kuliwa kiboga??
Kwani alimbaka si walikubaliana
she is a human being not something ana uhuru wake wa kuamua ndio maana nikasema mwanamke ndio mwenye makosa yeye ndio ilibidi aombe jwa mumewe kwamba ana jamaa yake binamu anamtinduaga fresh na kumridhisha sisi wanaume ni wawindaji daima huwezi kuta kitoweo kinajipendekeza ukakiachaWakikubaliana ulikuwepo?
Wanaume dhaifu bhana.
Unaweza kubaliana na Mali ya MTU pasipo mmiliki wa Mali hiyo?
Embu tumia Akili hata kidogo.
Mwanamke akishaolewa ni Mali ya MTU. Ndio maana kuna ndoa inayohalalisha umiliki na unapewa vyeti kama uthibitisho.
Sasa wewe unakubaliana vipi na MKE wa MTU pasipo mmiliki huoni kama kichwa chako ni hamnazo?
Mkipigwa Risasi mnaanza kutaka kuonewa huruma.
Wewe kama kweli unataka kukubaliana na MKE wa MTU, mfuate mumewe mwambie unataka kulala na Mkewe akikubali basi piga mzigo.
Sheria zipo wazi, usitamani MKE wa jirani yako, wala Mali yake, wala chochote alichonacho.
Sasa Kwa vile shetani anawarubuni hamjui hatari ya kuvunja hiyo sheria.
Mtauawa bila kujali serikali ipo au haipo
If another man is able to steal your woman from you,Wakikubaliana ulikuwepo?
Wanaume dhaifu bhana.
Unaweza kubaliana na Mali ya MTU pasipo mmiliki wa Mali hiyo?
Embu tumia Akili hata kidogo.
Mwanamke akishaolewa ni Mali ya MTU. Ndio maana kuna ndoa inayohalalisha umiliki na unapewa vyeti kama uthibitisho.
Sasa wewe unakubaliana vipi na MKE wa MTU pasipo mmiliki huoni kama kichwa chako ni hamnazo?
Mkipigwa Risasi mnaanza kutaka kuonewa huruma.
Wewe kama kweli unataka kukubaliana na MKE wa MTU, mfuate mumewe mwambie unataka kulala na Mkewe akikubali basi piga mzigo.
Sheria zipo wazi, usitamani MKE wa jirani yako, wala Mali yake, wala chochote alichonacho.
Sasa Kwa vile shetani anawarubuni hamjui hatari ya kuvunja hiyo sheria.
Mtauawa bila kujali serikali ipo au haipo