Hii kesi ni ngumu kama aliefanyiwa ukatili asipotoa ushirikiano. Mosi hebu tuwaze mbali huenda jamaa walimrecord wakiwa walimla tigo kweli ila wao wanasema tu walimkata vidole unadhani mfirw.aji (sijakusudia kumdhalilisha) unadhani atatoa ushirikiano akijua fika video za yeye akifanywa zipo somewhere ?!
Mbili, unadhani kwanini jamaa kaamua kukausha na kujitibia kimya kimya ?! Kwanini hajafika kituo cha polisi kuriport ukatili huo mpaka wewe mtoa mada unalalamika kwa niaba na yeye yuko kimyaaaa ?!
Niamini kuna usiyojua kuhusu mkasa huu usishangae kuitwa kituoni akakana hajafanyiwa unyama labda hata akasema vidole kajikata akiwa anatengeneza kachumbari na sikio kangatwa na mbwa wa jirani yake.