DOKEZO IGP Wambura amrisha upesi Askari wako wa Kawe Police wamkamate upesi huyu Mfanyabiashara Cherehani wa Soko la Kawe

DOKEZO IGP Wambura amrisha upesi Askari wako wa Kawe Police wamkamate upesi huyu Mfanyabiashara Cherehani wa Soko la Kawe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wana kawe Hatuna hii habari...

Wewe ni Muongo sana.

Mtu umesema muuza mihogo mara amesafiri mkoani kwa mawazo unadhani ni Rahisi kwa kijana yoyote kwenda kunyanduana mchana kweupe hasa kwa mazingira ya kawe
 
tabia ya wivu kwa mwanamke wangu nimeiacha zamani sana sijui kwasababu nina hela siku hizi?... but mwanaume yoyote anayehangaika kumlinda mwanamke ni maskini wa akili zake na maisha yake.. ujingaaaa

Agizia chakula kitamu ukipendacho kisha wambie bill waielekeze kwangu nitalipa tafadhali.

Umenena vyema sana.
 
Mimi nasimama na Cherehani Muuza Mihogo na hata ningekuwa mimi ni IGP nisingehangaika nae maana siyo kosa lake kosa ni la huyo mkatwa viungo!!!

Kwanini alienda kuvunja ndoa ya mtu na mtaani kuna wanawake chungu mbovu?

Kwani amefanya kumwingilia kwa nguvu huyo mwanamke?

Kwani amefanya kumbaka?

Muomba anaweza kukubaliwa au kukataliwa.

Kwanini alikubali huyo mwanamke? Si angekataa tu.
 
Kwani amefanya kumwingilia kwa nguvu huyo mwanamke?

Kwani amefanya kumbaka?

Muomba anaweza kukubaliwa au kukataliwa.

Kwanini alikubali huyo mwanamke? Si angekataa tu.
The issue ni kwanini anajua ni mke wa mtu halafu aende kumuomba m^ku???

Kama hakujua sawa ila anajua halafu anamtongoza kisha anaenda kwenye chumba alicholipia kodi mumewe kwenda kumkazia humo hivi hii wewe inakuingia akilini?ni dharau kiasi gani hii?

Tatizo lenu vijana mnadhani kutoka nje ya ndoa ni jambo la kawaida kwamba mume ukigundua muache mkeo.hayo siyo maisha inabidi ku-deal na wazinzi kwa njia za kikatili ili wengine mjifunze,mtu ni mke wa mtu unaenda kumuomba penzi la kazi gani?
 
Sina msaada juu ya mtu anaekula mke wa mtu. Unajiaminije kwenda kumla mke wa mtu .. ukikamatwa eti usipigwe ? We mwandishi pia una Mambo ya ajabu kwahiyo unamtetea mgoni?
Tena cherehani ana huruma Sana.
 
Binamu anajua fika kwamba huyo mwanamke ni mke wa Cherehani na huenda hata nyumbani huwa anaenda kujichekesha kumbe anatembea nae

Na alivyo na nia ovu alikubali kwenda kuzini na mke wa mtu kwenye nyumba ya mumewe

Huyu ana dharau ya hali ya juu sana acha damu yake iwe juu yake mwenyewe.

Na mke nae alipaswa ashikishwe adabu sambamba na huyu mwizi
Mkuu michango yako humu ina kuwa very reasonable.
 
Anaitwa Cherehani ni Mfanyabiashara pekee wa Kuuza Mihogo katika Soko la Kawe na maarufu pia.

Tukio

Mfanyabiashara huyu Bwana Cherehani wa Soko la Kawe alipanga njama kwa Kushirikiana na Mkewe ya Kumkamatisha Mwanaume aliyehisi anatoka na Mkewe ambaye kwa sasa ni Mjamzito.

Siku ya Alhamisi iliyopita Mfanyabiashara huyu wa Soko la Kawe Bwana Cherehani alikuta Meseji ya Mwanaume ambaye alimshuku kuwa ana Mahusiano na Mkewe huyo katika Simu ya Mkewe huyo.

Baada ya Mfanyabiashara huyu Bwana Cherehani kukuta hivyo alianza Kumpiga Mkewe Mjamzito kisha akamlazimisha amtege awezavyo huyo Mwanaume wake wa pembeni ( ambaye pia ni Binamu wake ) wote wakiwa wanatokea Mkoani Tanga aje Nyumbani Kwake alikopanga eneo la Kawe Mnarani na aweze Kumdhuru.

Hivyo Mkewe alitekeleza alichoamriwa na Mumewe ( Mfanyabiashara Bwana Cherehani ) ambapo alimtega Hawara yake huyo kwa Kumwambia kuwa yuko peke yake aje Wafanye Ngono kwani Mumewe amesafiri.

Kweli Mwanaume ( Hawara ) akaingia Mtegoni na kwenda ambapo alipoingia tu Ndani ( Nyumbani kwa Mfanyabiashara huyo Bwana Cherehani ) ambapo alipokuwa Sebuleni Mumewe ( Bwana Cherehani ) akiwa na Kaka yake wakajitokeza na Kuanza kumfanyia Vitendo visivyo vya Kibinadamu na vya Ukatili mkubwa Usiovumilika na unaosikitisha.
Alikwenda kufanya nini nyumbani kwa watu?

Halafu je wewe ni wakili wake au vipi? Kama yeye muhusika mwenyewe ameshindwa kwenda kuripoti inakuwaje wewe ndiyo unajifanya kimbelembele?
 
Aisee.... Cherehani kamwonea huruma sana jamaa.... Yaani tena anakuja kumtia mke wa mtu nyumbani kwa mumewe? Alipaswa amuue kabisa au amkate mashine siyo tu sikio.

Kumbuka huyo jamaa ni ndugu wa mke ,
Sasa ndugu yako akikuita hutaenda?

Je Kama anaumwa au Kuna tatizo?

Jamaa hiyo case ameshashinda asubuhi na huyo cherehani itamgharimu pakubwa sana atajutia upumbavu wake.
 
Aisee.... Cherehani kamwonea huruma sana jamaa.... Yaani tena anakuja kumtia mke wa mtu nyumbani kwa mumewe? Alipaswa amuue kabisa au amkate mashine siyo tu sikio.

Hapana inasemekana kuwa ni ndugu yake.

Wewe nduguyo akikuita utaacha kuitikia wito?

Kama anaumwa je ?
 
Wanaume wenye mtazamo huu Wana Sifa hizi;

1. Hawana Pesa
2. Hawana Mamlaka
3. Hawana connection ya Watu wenye mamlaka.

Mtu mwenye Pesa, mamlaka au connection ya mamlaka kamwe hawezi kukubali kuingilia katika Himaya yake. Kwani hiyo ni dharau, kuonekana wewe sio lolote na huwezi Fanya lolote.

Ishu hapo sio Mwanamke au MKE, ishu hapo ni vile mwanaume anavyoona kadharauliwa,
Yaani MTU anakuja mpaka nyumbani kwako anamvua Mkeo, anatumia mashuka na kitanda chako, [emoji3][emoji3]
Bado useme hautafanya chochote?

Ukiona hautafanya loloteya jua huna lolote, na wewe sio mwanaume.

Ndio kauli Ile ya MTU wa MTU sumu inapopata MAANA

Huyo jamaa ni ndugu yake isipokuwa watu ndio wanazani ni mahawara.
 
The issue ni kwanini anajua ni mke wa mtu halafu aende kumuomba m^ku???

Kama hakujua sawa ila anajua halafu anamtongoza kisha anaenda kwenye chumba alicholipia kodi mumewe kwenda kumkazia humo hivi hii wewe inakuingia akilini?ni dharau kiasi gani hii?

Tatizo lenu vijana mnadhani kutoka nje ya ndoa ni jambo la kawaida kwamba mume ukigundua muache mkeo.hayo siyo maisha inabidi ku-deal na wazinzi kwa njia za kikatili ili wengine mjifunze,mtu ni mke wa mtu unaenda kumuomba penzi la kazi gani?

Nani amethibitisha hayo kuwa walikuwa wapenzi ?

Kumbuka huyo ni ndugu yake!

Halafu huyo Mwanaume amefanya kuwabambitikizia tu wakubali lakini sio kweli.

Huenda wamekuri kosa sababu ya vitisho /shinikizo tu vya huyo fundi cherehani.

Yaani itamgharimu sana huyo fundi cherehani.
 
Alikwenda kufanya nini nyumbani kwa watu?

Halafu je wewe ni wakili wake au vipi? Kama yeye muhusika mwenyewe ameshindwa kwenda kuripoti inakuwaje wewe ndiyo unajifanya kimbelembele?

Aliitika wito aloitwa na ndugu yake yaani dada yake.
 
Hasira hasara fundi cherehani ameyachuma majanga atakula na wakwao !
 
Ndugu anaitwa kuwa njoo leo mume hayupo nikupe mahaba fire fire....anaenda?[emoji23]

Mengine ni maneno ambayo hakuwahi kuyasikia kiasi kwamba yamemstua akaona afadhali aende akahakikishe kama ni ya dada yake au simu imeibwa na Tapeli ndio akayasema maneno hayo ?!
 
Mengine ni maneno ambayo hakuwahi kuyasikia kiasi kwamba yamemstua akaona afadhali aende akahakikishe kama ni ya dada yake au simu imeibwa na Tapeli ndio akayasema maneno hayo ?!
Msgs zipo na za zamani pia wakitumiana kuwa huwa ana enjoy sana kumkamua.
 
Back
Top Bottom