IGP Wambura awaonya vikali wanaotaka kuandamana, asema huo ni uhaini akitaka "Wakome" na Wasitishe matamshi yao ya Kichochezi...

Mihogo na kachumbari iko poa sana !! πŸ˜…πŸ˜…πŸ™
 
Haya
Haya tuwaone barabarani nyie kunguru
 
We chawa utakufa kifo kibaya sana.
 
Kati ya watu wachochezi hapa JamiiForums ni wewe. Umejaa ukimbari. You are a effin racist twaaat.

Wewe ndie uwe wa kwanza kuwekwa kwenye tenga na kuburuzwa kwenda kwenye hifadhi ya fisi. Upotee kabisa.

Unajifanya unatetea masilahi ya Watanzania kumbe upo hapa kutetea masilahi ya Wazungu tu. Kila kukicha ni matusi dhidi ya watu weusi. Ngoja nikuvalie njuga, Mfyuuuuuuuuuuuu

Ulaaniwe
 
Wewe kaaandamane maneno meeengi ya nini? Watu Weusi wapumbavu Huwa siwatetei
 
wakamuulize mama yake Alfonsi mawazo. CHADEMA wameshindwa hata kumjengea kibanda cha kuishi. watakachofanya nikutembelea makaburi yenu
 
Mama hatumtaki … na pia MAPINDUZI YA KIHUNI HATUYATAKI, mapinduzi yangekua SULUHISHO nchi za AFRIKA magharibi zingekua mbali sana chondechonde CCM na uchu wenu wamadaraka fanyeni yote , mkitaka kuuana kwa sumu uaneni ,mkitaka kurogana roganeni lakini kupindua serikali iliyokihalali huo ni UHUNI tena β€œnext level” sio utamaduni wetu ….TAIFA kwanza. Suluhisho ni katiba mpya ambayo itawajibisha viongozi wote hata wakitoka madarakani si vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…