IGP Wambura awaonya vikali wanaotaka kuandamana, asema huo ni uhaini akitaka "Wakome" na Wasitishe matamshi yao ya Kichochezi...

IGP Wambura awaonya vikali wanaotaka kuandamana, asema huo ni uhaini akitaka "Wakome" na Wasitishe matamshi yao ya Kichochezi...

🤣 Bongo labda waandamane kwenye keyboard au kwenye comment.

Ishu ya uhaini(kupinduana) labda watokee wanajeshi ndani ya jeshi ndio wampindue samia au wamteke samia kisha Nchi ikae kimyaaaaaaaaaaaaaaa.
Kisha jeshi liende live tbc kutangazia taifa kuwa jeshi limepindua serikali na kufunga mipaka yote. Kama walivyofanya huko west Africa Burkina Faso na Niger.

Zaidi ya hapo kelele zitaishia kwenye comments 🤣🤣 na vijiweni. Baada ya hapo tunakula ugali dagaa kisha tunalala.
Mihogo na kachumbari iko poa sana !! 😅😅🙏
 
Haya
Jeshi la polisi halijawahi kuishinda nguvu ya umma,mlishazoea kupambana na chadema,leo hii sio chadema tena,ni watanzania woote bira kujali dini zao,vyama vyao na makabila yao.

Ninajua hata yeye igp anaupinga huu mkataba,ila kwa sababu yake aliyonayo,hawezi kusema wazi.
Haya tuwaone barabarani nyie kunguru
 
We chawa utakufa kifo kibaya sana.
Badala ya kuongea ongea Polisi wanatakiwa kuwachukulia hatua Kali waliotoa hayo matamshi ya kichochezi haraka sana Ili iwe funzo Kwa wengine.

Polisi acheni kuchekea manyani,Chukueni Hatua badala ya kutoa matamko.

Maslahi ya Mamilioni ya Watanzania ni muhimu kuliko hao wapuuzi wachache,tokomeza wakafie mbele huko.
 
Kati ya watu wachochezi hapa JamiiForums ni wewe. Umejaa ukimbari. You are a effin racist twaaat.

Wewe ndie uwe wa kwanza kuwekwa kwenye tenga na kuburuzwa kwenda kwenye hifadhi ya fisi. Upotee kabisa.

Unajifanya unatetea masilahi ya Watanzania kumbe upo hapa kutetea masilahi ya Wazungu tu. Kila kukicha ni matusi dhidi ya watu weusi. Ngoja nikuvalie njuga, Mfyuuuuuuuuuuuu

Ulaaniwe
 
Wewe kaaandamane maneno meeengi ya nini? Watu Weusi wapumbavu Huwa siwatetei
 
nyie jitieni kichwa ngumu tu mtachakaaa mtapigwa halafu mkishapata maulemavu hakuan hata kiongozi mmoja anakuja kukuangalia hata kukuetea hela ya kula wakati unasota hospitali kwagarama zako mwenyewe mjitambue kila mtu anatafuta ugali wake hakuna cha mbowe wala lissu anayetaka kupata madaraka agawane na nyie mnaojifanya kuandamana mtakoma
wakamuulize mama yake Alfonsi mawazo. CHADEMA wameshindwa hata kumjengea kibanda cha kuishi. watakachofanya nikutembelea makaburi yenu
 
Mama hatumtaki … na pia MAPINDUZI YA KIHUNI HATUYATAKI, mapinduzi yangekua SULUHISHO nchi za AFRIKA magharibi zingekua mbali sana chondechonde CCM na uchu wenu wamadaraka fanyeni yote , mkitaka kuuana kwa sumu uaneni ,mkitaka kurogana roganeni lakini kupindua serikali iliyokihalali huo ni UHUNI tena “next level” sio utamaduni wetu ….TAIFA kwanza. Suluhisho ni katiba mpya ambayo itawajibisha viongozi wote hata wakitoka madarakani si vinginevyo
 
Back
Top Bottom