mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Hata kama yasemwayo ni ya uongo ??!! 😅😅🙏Yasemwayo yapo,kama hayapo yanakuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama yasemwayo ni ya uongo ??!! 😅😅🙏Yasemwayo yapo,kama hayapo yanakuja
Huuzwaji ndio nini!Huuzwaji wa bandari za watanganyika kwa waarabu hautamwacha mtu salama! Ni suala la muda tu!
Mihogo na kachumbari iko poa sana !! 😅😅🙏🤣 Bongo labda waandamane kwenye keyboard au kwenye comment.
Ishu ya uhaini(kupinduana) labda watokee wanajeshi ndani ya jeshi ndio wampindue samia au wamteke samia kisha Nchi ikae kimyaaaaaaaaaaaaaaa.
Kisha jeshi liende live tbc kutangazia taifa kuwa jeshi limepindua serikali na kufunga mipaka yote. Kama walivyofanya huko west Africa Burkina Faso na Niger.
Zaidi ya hapo kelele zitaishia kwenye comments 🤣🤣 na vijiweni. Baada ya hapo tunakula ugali dagaa kisha tunalala.
Anatimiza wajibu wake, hii siyo nchi ya wahuni, tafuteni pakufanya uhuni wenuPorojo zilizojaa kiki ndani yake , huyu anataka cheo gani sasa ? maana IGP ndio cheo cha Juu cha Polisi .
Haya tuwaone barabarani nyie kunguruJeshi la polisi halijawahi kuishinda nguvu ya umma,mlishazoea kupambana na chadema,leo hii sio chadema tena,ni watanzania woote bira kujali dini zao,vyama vyao na makabila yao.
Ninajua hata yeye igp anaupinga huu mkataba,ila kwa sababu yake aliyonayo,hawezi kusema wazi.
wewe utakuwa umevimbiwa maharage ya mbeyaHiri ri Askari ritakuwa rimeshiba uhari wa dona
Badala ya kuongea ongea Polisi wanatakiwa kuwachukulia hatua Kali waliotoa hayo matamshi ya kichochezi haraka sana Ili iwe funzo Kwa wengine.
Polisi acheni kuchekea manyani,Chukueni Hatua badala ya kutoa matamko.
Maslahi ya Mamilioni ya Watanzania ni muhimu kuliko hao wapuuzi wachache,tokomeza wakafie mbele huko.
We boya utakufa kifo kizuri?We chawa utakufa kifo kibaya sana.
We unaongea kama nani?Upuuzi mkafanyie West Africa sio Tanzania huku mtapumzishwa kwenye graves kama mumechoka kupumzika chumbani kwenu.
Wewe andamana ndio Utajua naongea kama nani.We unaongea kama nani?
Mi siwezi kuwa boya siku nikiwa boya we utakuwa boya ➕We boya utakufa kifo kizuri?
Kati ya watu wachochezi hapa JamiiForums ni wewe. Umejaa ukimbari. You are a effin racist twaaat.Badala ya kuongea ongea Polisi wanatakiwa kuwachukulia hatua Kali waliotoa hayo matamshi ya kichochezi haraka sana Ili iwe funzo Kwa wengine.
Polisi acheni kuchekea manyani,Chukueni Hatua badala ya kutoa matamko.
Maslahi ya Mamilioni ya Watanzania ni muhimu kuliko hao wapuuzi wachache,tokomeza wakafie mbele huko.
Wewe kaaandamane maneno meeengi ya nini? Watu Weusi wapumbavu Huwa siwateteiKati ya watu wachochezi hapa JamiiForums ni wewe. Umejaa ukimbari. You are a effin racist twaaat.
Wewe ndie uwe wa kwanza kuwekwa kwenye tenga na kuburuzwa kwenda kwenye hifadhi ya fisi. Upotee kabisa.
Unajifanya unatetea masilahi ya Watanzania kumbe upo hapa kutetea masilahi ya Wazungu tu. Kila kukicha ni matusi dhidi ya watu weusi. Ngoja nikuvalie njuga, Mfyuuuuuuuuuuuu
Ulaaniwe
wakamuulize mama yake Alfonsi mawazo. CHADEMA wameshindwa hata kumjengea kibanda cha kuishi. watakachofanya nikutembelea makaburi yenunyie jitieni kichwa ngumu tu mtachakaaa mtapigwa halafu mkishapata maulemavu hakuan hata kiongozi mmoja anakuja kukuangalia hata kukuetea hela ya kula wakati unasota hospitali kwagarama zako mwenyewe mjitambue kila mtu anatafuta ugali wake hakuna cha mbowe wala lissu anayetaka kupata madaraka agawane na nyie mnaojifanya kuandamana mtakoma
Wanamtumia kama mtaji wa Kisiasa 😂😂wakamuulize mama yake Alfonsi mawazo. CHADEMA wameshindwa hata kumjengea kibanda cha kuishi. watakachofanya nikutembelea makaburi yenu
Zimeuzwa shilingi ngapi hizo bandari?, tuwekee ushahidi wa hayo mauzo tujiridhishe.Kwa hiyo wanaouza bandari za tanganyika sio wahaini ila wanaopinga uuzwaji ndo wahaini. Ooooh my tanzania
Halafu wala hatuambiwi. Polisi Wana Siri!!!Kumbe kulikuwa na jaribio la kupindua nchi [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nikakope bank mapema
Wazungu ni wapumbavu Huwa siwatetei