IGP Wambura awaonya vikali wanaotaka kuandamana, asema huo ni uhaini akitaka "Wakome" na Wasitishe matamshi yao ya Kichochezi...

IGP Wambura awaonya vikali wanaotaka kuandamana, asema huo ni uhaini akitaka "Wakome" na Wasitishe matamshi yao ya Kichochezi...

Mama hatumtaki … na pia MAPINDUZI YA KIHUNI HATUYATAKI, mapinduzi yangekua SULUHISHO nchi za AFRIKA magharibi zingekua mbali sana chondechonde CCM na uchu wenu wamadaraka fanyeni yote , mkitaka kuuana kwa sumu uaneni ,mkitaka kurogana roganeni lakini kupindua serikali iliyokihalali huo ni UHUNI tena “next level” sio utamaduni wetu ….TAIFA kwanza. Suluhisho ni katiba mpya ambayo itawajibisha viongozi wote hata wakitoka madarakani si vinginevyo
Katiba mpya atakupa nani mzee? 😂 Unatumia akili zako kikamilifu kweli? Mahakama, Polisi wako kwa ajili ya kulinda interests za serikali. Amka utakuja kujikojolea siku sio nyingi.
 
.....Nileteeni Sankara...
....Nileteen Sankara..
.....Nileteen Sankara..
 
Katiba mpya atakupa nani mzee? 😂 Unatumia akili zako kikamilifu kweli? Mahakama, Polisi wako kwa ajili ya kulinda interests za serikali. Amka utakuja kujikojolea siku sio nyingi.
Ni swala la muda tu na wala hatuna haraka nayo mapinduzi ya nguvu yamefanyika sana kwa wenzetu afrika ya magharibi nikikupa idadi ni zaidi ya mia moja hamsini lakini wako wapi? Afrika kinachoturudisha nyuma sio uongozi mbovu pekee ni mfumo mzima wa maisha yetu MAMA sio mbaya kiasi cha kufikiria kutumia mbinu za kihayawani …
 
Amani ya Tanzania ni ile ya wananchi kuwa wanyonge kufanyiwa chochote na serikali yao kama vile kuuwawa kutekwa kubakwa kubabizikiwa kesi kulawitiwa kunyanyanganywa mali zao watoto wao pesa zao na kulipa kodi kandamizi na kutawaliwa na viongozi na watoto wao na mahawara zao yote hiyo ni mfumo wa amani na utulivu katika jamii ya Tanzania.Usipokubali hayo wewe sio mzalendo kawe mkimbizi au andamana uone cha mtema kuni
Ni kichaa pekee atapingana na hili 🤣🤣🤣!!!

Amani yetu ni kukaa kimya tukifanyiwa uovu wowote na serikali. Hii imeenda!!! 😎
 
Ni swala la muda tu na wala hatuna haraka nayo mapinduzi ya nguvu yamefanyika sana kwa wenzetu afrika ya magharibi nikikupa idadi ni zaidi ya mia moja hamsini lakini wako wapi? Afrika kinachoturudisha nyuma sio uongozi mbovu pekee ni mfumo mzima wa maisha yetu MAMA sio mbaya kiasi cha kufikiria kutumia mbinu za kihayawani …
Hayo unayoita ya kihayawani ndio changamoto ambazo serikali inatakiwa izipitie ili ifanye kinachotakiwa kufanyika bila kupepesa macho.
 
KATIBA imeruhusi maandamano,

KAZI ya polisi ni kulinda raia waandamanaji na Mali za wasioandamana.

Maandamano ya Amani Kwa watu wasio na silaha ni HAKI kikatiba, uhaini ni kuuza bandari.

Yaani Baba Askofu Mwamakula na Kamanda Mwambukusi waongoze maandamano, naanzaje kukaa ndani?
 
Hayo unayoita ya kihayawani ndio changamoto ambazo serikali inatakiwa izipitie ili ifanye kinachotakiwa kufanyika bila kupepesa macho.
Leo jenerali A akipindua kesho kanali B atapindua kesho kutwa kapteni C atafuata huo ni UHAYAWANI… katiba lazima iheshimiwe ndio muongoza wa TAIFA
 
Unaelewa kuwa kesi ya uhaini haina dhamana?

Kama huelewi weka namba zako za simu ili polisi wakupigie uwaulize hilo swali.
Kuandamana kusupport uuzwaji bandari Si uhaini, ila kupinga kuuzwa Bandari zetu ndo uhaini?

Tafuteni wa kuwauzia Uoga, wenye kujua HAKI zetu tutaandamana maana maandamano ni HAKI ya kikatiba.

Maandamano ya Amani Si uhaini kataa HOFU🙏🙏🙏
 
Toa ujinga wako hapa,mnaishi Kwa msaada wa beberu USA

Mwehu ni wewe IGP na akili huna
Haya ndio maneno anayomtumia dhidi ya IGP Wambura.

IGP Wambura anatakiwa kukupuuza wewe CHoice, yani ulitakiwa utunguliwe kuanzia kule TT ambako umejenga maharamia yanayokuja hapa Jamiiforums kutukana Watanzania na Waafrika kwa Ujumla. Mbinu zako zinajulikana, ukae chonjo.

Ninakuvalia Njuga, sasa njoo na yale ma ID yako mengine uone. Haramia we
 
Wewe kaaandamane tuu unyooshwe palipoponda maana hukunyooshwa na wazazi wako
 
Badala ya kuongea ongea Polisi wanatakiwa kuwachukulia hatua Kali waliotoa hayo matamshi ya kichochezi haraka sana Ili iwe funzo Kwa wengine.

Polisi acheni kuchekea manyani,Chukueni Hatua badala ya kutoa matamko.

Maslahi ya Mamilioni ya Watanzania ni muhimu kuliko hao wapuuzi wachache,tokomeza wakafie mbele huko.
Maslahi ya Waarabu na Wazanzibari yanatakiwa kuangaliwa sana kuliko wenye nchi yao.
 
Back
Top Bottom