Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Katiba mpya atakupa nani mzee? 😂 Unatumia akili zako kikamilifu kweli? Mahakama, Polisi wako kwa ajili ya kulinda interests za serikali. Amka utakuja kujikojolea siku sio nyingi.Mama hatumtaki … na pia MAPINDUZI YA KIHUNI HATUYATAKI, mapinduzi yangekua SULUHISHO nchi za AFRIKA magharibi zingekua mbali sana chondechonde CCM na uchu wenu wamadaraka fanyeni yote , mkitaka kuuana kwa sumu uaneni ,mkitaka kurogana roganeni lakini kupindua serikali iliyokihalali huo ni UHUNI tena “next level” sio utamaduni wetu ….TAIFA kwanza. Suluhisho ni katiba mpya ambayo itawajibisha viongozi wote hata wakitoka madarakani si vinginevyo