ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Dunia inaenda Kasi sana ,huko tulishatoka zamani , Mwendazake is no moreNi hatari kwa kiongozi wa Umma kutoa matamshi kama haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia inaenda Kasi sana ,huko tulishatoka zamani , Mwendazake is no moreNi hatari kwa kiongozi wa Umma kutoa matamshi kama haya
Jeshi la polisi fanyeni kazi yenu kwa weledi.
Huyu CV ni effein bigoted, ni mbaguzi na ni gaidi la mtandaoni anayetokea kwenye mitandao ya Right wing racist twaats wa T-a-TAlk. Shughuli yake kubwa ni kuwatukana watanzania na watu weusi kwa ujumla.Wajinga tuu hao Polisi Bora hata Latea,Huwa vikipewa buku ten hakuna Cha maana wanafanya.
Serekali iliyoko madarakani kwa kupora uchaguzi haina uhalali wowote wa umma. Ni aidha yatokee machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi ili nchi yetu iweze kupata katiba mpya. Watazuia leo na kesho, lakini mwisho wa CCM umefika na utakuwa mbaya kuliko mnavyotegemea.Badala ya kuongea ongea Polisi wanatakiwa kuwachukulia hatua Kali waliotoa hayo matamshi ya kichochezi haraka sana Ili iwe funzo Kwa wengine.
Polisi acheni kuchekea manyani,Chukueni Hatua badala ya kutoa matamko.
Maslahi ya Mamilioni ya Watanzania ni muhimu kuliko hao wapuuzi wachache,tokomeza wakafie mbele huko.
Former katibu na mwenezi wake sio? Usiwasingizie hawawezi kufanya upuuzi huo.Itakuwa shiruba na lepolepo wapo behind this plot.
Furaha unayo wewe kuna wenzio wanakufa kila siku sababu ya kukosa huduma bora za kijamii.Siungi mkono hayo maandamano, wamuache hangaya mbona anapiga kazi fresh tu, nchi imetulia, amanita, hela imemwagika mtaani yaani watu wanafuraha ya kutosha.
Muacheni mama bhana, kama mlishindwa kuandamana kipindi cha jiwe wkt anaikanyaga katiba sioni umuhimu wa maandamano kwa sasa.
Katiba inge heshimiwa na. watu wote tusingefika hapa tulipo leo ila kwa kuwa mmeamua iheshimiwe tu na kundi flani na kundi flani waipuuze basi ni sawa.Leo jenerali A akipindua kesho kanali B atapindua kesho kutwa kapteni C atafuata huo ni UHAYAWANI… katiba lazima iheshimiwe ndio muongoza wa TAIFA
Kufa kila sehemu wanakufa hata states watu wanang'ata shuka.Furaha unayo wewe kuna wenzio wanakufa kila siku sababu ya kukosa huduma bora za kijamii.
Hai justify unachotetea. Huko USA watu hawafi kwa kukosa matibabu flani eti kwa kuwa serikali imeamua magonjwa flani haihangaiki nayo kwamba wananchi wajilipie.Kufa kila sehemu wanakufa hata states watu wanang'ata shuka.
Hili jambo si la Mbowe wala huyo Lisu ni jambo la Watanganyika!jipeni matumaini tu kuwa haelewi halafu mje muende mkaandamane yatayowakuta hatahusika mbowe wala lissu mtajuta wenyewe
Kwani umesikia hao wa mabaka mabaka ndiyo wanapenda kuja kutawaliwa na mwarabu? Mtanganyika wa leo, siye wa jana!Hapo angekuwa yule marehemu yaani saa hizi mngeona mabaka mabaka wanafagia barabarani
Kweli jamaa alitisha kwa hilo yaani ni vitendo tu
Fagio tu watu wakatulia tuli
Mabishano kamahaya ndiyo yamefanya wanajeshi Niger kuchukua shortcutKuandamana ndio kuzuia kuuzwa au ni kuleta machafuko kwanza ilo halina mjadala alieuza ni mhaini au sio ila kuandamana hawawezi 😀
Tuongee Nini? Tuongee hapa hapa! Nikikuhitaji nitakupigia! Usijitoe ufahamu kuhusu Wizi wenu
Faiza on fire mpaka unaweka # ya sim
Kweli unajiamini,awamu yako hii [emoji1]
Ova
HAKUNA LOLOTE..!Huuzwaji wa bandari za watanganyika kwa waarabu hautamwacha mtu salama! Ni suala la muda tu!