IGP Wambura awaonya vikali wanaotaka kuandamana, asema huo ni uhaini akitaka "Wakome" na Wasitishe matamshi yao ya Kichochezi...

IGP Wambura awaonya vikali wanaotaka kuandamana, asema huo ni uhaini akitaka "Wakome" na Wasitishe matamshi yao ya Kichochezi...

Jeshi la polisi fanyeni kazi yenu kwa weledi.

Wajinga tuu hao Polisi Bora hata Latea,Huwa vikipewa buku ten hakuna Cha maana wanafanya.
Huyu CV ni effein bigoted, ni mbaguzi na ni gaidi la mtandaoni anayetokea kwenye mitandao ya Right wing racist twaats wa T-a-TAlk. Shughuli yake kubwa ni kuwatukana watanzania na watu weusi kwa ujumla.
 
Badala ya kuongea ongea Polisi wanatakiwa kuwachukulia hatua Kali waliotoa hayo matamshi ya kichochezi haraka sana Ili iwe funzo Kwa wengine.

Polisi acheni kuchekea manyani,Chukueni Hatua badala ya kutoa matamko.

Maslahi ya Mamilioni ya Watanzania ni muhimu kuliko hao wapuuzi wachache,tokomeza wakafie mbele huko.
Serekali iliyoko madarakani kwa kupora uchaguzi haina uhalali wowote wa umma. Ni aidha yatokee machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi ili nchi yetu iweze kupata katiba mpya. Watazuia leo na kesho, lakini mwisho wa CCM umefika na utakuwa mbaya kuliko mnavyotegemea.
 
Siungi mkono hayo maandamano, wamuache hangaya mbona anapiga kazi fresh tu, nchi imetulia, amanita, hela imemwagika mtaani yaani watu wanafuraha ya kutosha.

Muacheni mama bhana, kama mlishindwa kuandamana kipindi cha jiwe wkt anaikanyaga katiba sioni umuhimu wa maandamano kwa sasa.
Furaha unayo wewe kuna wenzio wanakufa kila siku sababu ya kukosa huduma bora za kijamii.
 
JamiiForums1880418218.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo jenerali A akipindua kesho kanali B atapindua kesho kutwa kapteni C atafuata huo ni UHAYAWANI… katiba lazima iheshimiwe ndio muongoza wa TAIFA
Katiba inge heshimiwa na. watu wote tusingefika hapa tulipo leo ila kwa kuwa mmeamua iheshimiwe tu na kundi flani na kundi flani waipuuze basi ni sawa.
 
Tanzania is s peaceful country, ninacho jua mimi maandamano yatafanyika kwa njia ya smart phone otherwise nimekusikiliza IGP umeongea vizuri na ndio wajibu wako kutoka maonyo pale kunapokuwa na sintofahamu more especially serikali ambayo uliapa kuisimamia na kiilinda katiba, maana tumeona kazi yako ni nzuri watu sasa angalau tz kwa sasa kuna Uhuru wa watu kuongea,na kutoka maoni bila vitisho na kukandamizwa haki zao.
 
Hapo angekuwa yule marehemu yaani saa hizi mngeona mabaka mabaka wanafagia barabarani

Kweli jamaa alitisha kwa hilo yaani ni vitendo tu

Fagio tu watu wakatulia tuli
Kwani umesikia hao wa mabaka mabaka ndiyo wanapenda kuja kutawaliwa na mwarabu? Mtanganyika wa leo, siye wa jana!
 
Wambula asiwe na shaka. 'Mama atatawala mpaka achoke mwenyewe'.

Ikifika '25 akasema bado ana nguvu ya kuendelea, sawa!

Ikifika 2030 akasema bado ana nguvu ya kuendelea, sawa!

Ikifika 2035 akasema anataka kuendelea, sawa!

Tutaendelea kumuongezea muda mpaka achoke mwenyewe!

So far she is doing a great job na wananchi wana imani naye kabisa.

Namtakia Wambula alale usingizi mnono maana nchi iko salama kabisa... huku nikizidi kumpongeza kwa jinsi anavyopambana na kudhibiti uhalifu.
 
Back
Top Bottom