IGP Wambura awaonya vikali wanaotaka kuandamana, asema huo ni uhaini akitaka "Wakome" na Wasitishe matamshi yao ya Kichochezi...

IGP Wambura awaonya vikali wanaotaka kuandamana, asema huo ni uhaini akitaka "Wakome" na Wasitishe matamshi yao ya Kichochezi...

LISSU AKICHEKEWA ATALITIA TAIFA LETU KWENYE MATATIZO MAKUBWA SANA,MABWANA ZAKE WAMEMUHAIDI DONGE NONO AKIFANIKISHA KUVURUGA NCHI TUWE MAKINI SANA.
 
Oya maandamano yanaanzia wapi nipo tayari tupeane taarifa na siku. Maana hii nchi imekua ya hovyo mambo hayaeleweki.
 
Oya maandamano yanaanzia wapi nipo tayari tupeane taarifa na siku. Maana hii nchi imekua ya hovyo mambo hayaeleweki.
Nenda kaulize ofisini kwa Wambura, yeye ndiye mwenye kutowa rukhsa ya maandamano.
 
Wakati wa JPM ulikuwa mdogo kama piriton!

Mimi tu? Lussu alikuwa wapi? Mwambulukusi alikuwa wapi? Mbowe alikuwa wapi?

Kabla hujajibu, ipitie vizuri post #1 uusikilize ujumbe uliopo.
 
Huyu afande anatuelimisha kuwa uwezo wa kuipindua nchi upo kwa wananchi. Mana hatukuwaza kama uwezo huo tunao
 
Fikiria akija Rais mwenye akili atakubali kuendelea na huu uharo wa Dp world?

Hakika ataona ni heri tulipe mabilioni ya dola kuliko kuendelea kuukumbatia upumbavu wa namna hii!
Ujinga ndiyo adui mkuu wa Mtanzania, na wewwe naona unao.

Soma na isikilize vizuri video clip post #1.
 
Anachokiongea hakijui..kumbe ukishakuwa polish unakosa akili kabisa et
 
IGP,
Wachochezi wakuu wa uharibifu wa amani Tanzania ni Mbowe, Lussu, Slaa na wale maaskofu na mapadri na makasisi waliokuwa nao pale Temeke.

Mbona kila kitu kipo wazi kabisa. tia ndani wote hao, wengine hapo ni wakufinywa kabisa.

Juzi USA wamemfinya mmoja. Usiogope.
 
Oya maandamano yanaanzia wapi nipo tayari tupeane taarifa na siku. Maana hii nchi imekua ya hovyo mambo hayaeleweki.
Tundu lissu anafurahi KWELI na lema ukizingatia familia ZAO na watoto wao WAPO huko ULAYA NA AMERIKA.
 
IGP,
Wachochezi wakuu wa uharibifu wa amani Tanzania ni Mbowe, Lussu, Slaa na wale maaskofu na mapadri na makasisi waliokuwa nao pale Temeke.

Mbona kila kitu kipo wazi kabisa. tia ndani wote hao, wengine hapo ni wakufinywa kabisa.

Juzi USA wamemfinya mmoja. Usiogope.
SAFI SANA 📌
MAFANIKIO YA DR.SAMIA KATIKA KILA SEKTA YANAWAKERA SANA.
IPO HAJA MWANASIASA ANAPOINGIA NCHINI,PASIPOTI YAKE IWE INASHIKILIWA KWANZA NDIPO AANZE SIASA ZAKE.
 
Back
Top Bottom