Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
LISSU AKICHEKEWA ATALITIA TAIFA LETU KWENYE MATATIZO MAKUBWA SANA,MABWANA ZAKE WAMEMUHAIDI DONGE NONO AKIFANIKISHA KUVURUGA NCHI TUWE MAKINI SANA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kaulize ofisini kwa Wambura, yeye ndiye mwenye kutowa rukhsa ya maandamano.Oya maandamano yanaanzia wapi nipo tayari tupeane taarifa na siku. Maana hii nchi imekua ya hovyo mambo hayaeleweki.
Samia ni mwoga sana
Ni mwoga sana, sasa mwambukusi anampinduaje kama si uoga?Mwanamke wa shoka yule, taratiiibu, hana papara. Mtu muoiga huwa na papaa.
Isikilize vizuri post #1.
Wakati wa JPM ulikuwa mdogo kama piriton!
Kamuulize IGP. ulimsikia Samia akisema lolote kuhusu ujinga wote uliozungumzwa?Ni mwoga sana, sasa mwambukusi anampinduaje kama si uoga?
Samia ni mwoga!Kamuulize IGP. ulimsikia Samia akisema lolote kuhusu ujinga wote uliozungumzwa?
Ujinga ndiyo adui mkuu wa Mtanzania, na wewwe naona unao.Fikiria akija Rais mwenye akili atakubali kuendelea na huu uharo wa Dp world?
Hakika ataona ni heri tulipe mabilioni ya dola kuliko kuendelea kuukumbatia upumbavu wa namna hii!
Nenda kamwambie IGP.Samia ni mwoga!
Kama siyo mwoga mwambie atoe amri ya kuachiwa kwa kina Mwambukusi
Mimi ndio nimteua IGP?Nenda kamwambie IGP.
😂😂. Kweli boss,Mlinipa wenyewe
Hauna uwezo huo.Mimi ndio nimteua IGP?
Sasa kama hujasikia umejibu nini? Hewa?Mimi na umri huu sijawahi kusikia maneno ya aina hii. Yaani mpaka nimewaza au anatushitua kiaina?🤣🤣🤣🤣
Soon huyu mvaa ushungi wako ataishiwa nguvu tuHauna uwezo huo.
Una uwezo wa kwenda polisi au kwake kufatailia kwanini wapenzi wako wamekamatwa.
Tundu lissu anafurahi KWELI na lema ukizingatia familia ZAO na watoto wao WAPO huko ULAYA NA AMERIKA.Oya maandamano yanaanzia wapi nipo tayari tupeane taarifa na siku. Maana hii nchi imekua ya hovyo mambo hayaeleweki.
SAFI SANA 📌IGP,
Wachochezi wakuu wa uharibifu wa amani Tanzania ni Mbowe, Lussu, Slaa na wale maaskofu na mapadri na makasisi waliokuwa nao pale Temeke.
Mbona kila kitu kipo wazi kabisa. tia ndani wote hao, wengine hapo ni wakufinywa kabisa.
Juzi USA wamemfinya mmoja. Usiogope.