IGP Wambura Awasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dodoma

IGP Wambura Awasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dodoma

Then unadhan interview yake itafanyika uwanja wa taifa ili kila mwanainchi amuulize swali au?

Au unadhan kutakuwa kunapigwa Kura ya kumchagua IGP watz wote wahusike?

Mnajidanganya Sana Kwa katiba mpya
Angalia Kenya wanavyofanya. Ama ufahamu wako ni mdogo sana!?
 
Mtu kama huyu hawezi kufurahia kile kifo kweli?
Tarehe 17/3/2021 tarehe itakumbukwa kwa kubadilisha mengi nchini hapa. Mwaka ujao itakuwa siku ya ijumaa mwaka jana ilikuwa siku ya jumatano
 
Pale Wambura, kule Kingai haha. Majina yalikuwa maarufu sana kipindi cha case ya ugaidi na uhujumu uchumi iliyokuwa inawakabili kina Mbowe na wale ex comandoos
 
Mbona bodigadi wake ni yuleyule akiyekua kwa Sirro?
Aliyeteuliwa kwenda Zimbabwe ni Sirro peke yake, wasaidizi wengine kama madereva na walinzi wanaendelea na shughuli zao, unless IGP Mpya afanye mabadiriko.
 
Pale Wambura, kule Kingai haha. Majina yalikuwa maarufu sana kipindi cha case ya ugaidi na uhujumu uchumi iliyokuwa inawakabili kina Mbowe na wale ex comandoos
CDM hawana hamu

Baadhi walisherehekea Kingai kwenda Kigoma
Sasa ni yale ya usiyempenda kaja
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP. CAMILLUS WAMBURA amewasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi baada ya kuapishwa Ikulu, Chamwino Dodoma.
View attachment 2297808View attachment 2297809View attachment 2297811View attachment 2297810
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP, Kwa Katiba mpya itakuwa watu wenye sifa watume maombi kuomba kazi hiyo.
Wakati mwingine acheni KUISHI kwa ILLUsions Kama stori za peponi.

Mwisho wa siku hata Kama itakuwa hivyo, bado system ikitaka kuweka watu wao itawekwa tu.
 
Back
Top Bottom