IGP Wambura Awasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dodoma

IGP Wambura Awasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dodoma

Majambazi na vibaka wote nawashauri acheni kazi zenu fanyeni kazi za halali kwani yajayo ni machungu sana kwenu! pambaf zenu, kidume kimetia timu 🤣 🤣
 
Majambazi na vibaka wote nawashauri acheni kazi zenu fanyeni kazi za halali kwani yajayo ni machungu sana kwenu! pambaf zenu, kidume kimetia timu [emoji1787] [emoji1787]

IGP -wambura.
DCI-kingai
OP-awadhi

[emoji23][emoji23][emoji23]mimi acha nisikitikie roho za watu.
 
IGP Wambura tunamuomba sasa apange safu ya watendaji kazi, maadili na UADILIFU kwa askari wetu ni jambo la kipau mbele.
 
Back
Top Bottom