kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Jul 21, 2022 #41 ki2c said: Mbona bodigadi wake ni yuleyule akiyekua kwa Sirro? Click to expand... Ulitaka uwe wewe?
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,152 Reaction score 33,899 Jul 21, 2022 #42 Juma1967 said: Umeangalia Katiba ya Kenya kuhusu hizo nafasi? Click to expand... Kenya wanafanya interview nafasi chache sana sisi tunaweza tukaextend. Lkn interview inaweza fanyika
Juma1967 said: Umeangalia Katiba ya Kenya kuhusu hizo nafasi? Click to expand... Kenya wanafanya interview nafasi chache sana sisi tunaweza tukaextend. Lkn interview inaweza fanyika
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Jul 21, 2022 #43 Majambazi na vibaka wote nawashauri acheni kazi zenu fanyeni kazi za halali kwani yajayo ni machungu sana kwenu! pambaf zenu, kidume kimetia timu 🤣 🤣
Majambazi na vibaka wote nawashauri acheni kazi zenu fanyeni kazi za halali kwani yajayo ni machungu sana kwenu! pambaf zenu, kidume kimetia timu 🤣 🤣
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Jul 21, 2022 #44 pilipili kichaa said: Majambazi na vibaka wote nawashauri acheni kazi zenu fanyeni kazi za halali kwani yajayo ni machungu sana kwenu! pambaf zenu, kidume kimetia timu [emoji1787] [emoji1787] Click to expand... IGP -wambura. DCI-kingai OP-awadhi [emoji23][emoji23][emoji23]mimi acha nisikitikie roho za watu.
pilipili kichaa said: Majambazi na vibaka wote nawashauri acheni kazi zenu fanyeni kazi za halali kwani yajayo ni machungu sana kwenu! pambaf zenu, kidume kimetia timu [emoji1787] [emoji1787] Click to expand... IGP -wambura. DCI-kingai OP-awadhi [emoji23][emoji23][emoji23]mimi acha nisikitikie roho za watu.
Z zandrano JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 7,893 Reaction score 8,816 Jul 21, 2022 #45 IGP Wambura tunamuomba sasa apange safu ya watendaji kazi, maadili na UADILIFU kwa askari wetu ni jambo la kipau mbele.
IGP Wambura tunamuomba sasa apange safu ya watendaji kazi, maadili na UADILIFU kwa askari wetu ni jambo la kipau mbele.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jul 21, 2022 #46 peno hasegawa said: Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP, Kwa Katiba mpya itakuwa watu wenye sifa watume maombi kuomba kazi hiyo. Click to expand... Good
peno hasegawa said: Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP, Kwa Katiba mpya itakuwa watu wenye sifa watume maombi kuomba kazi hiyo. Click to expand... Good
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jul 21, 2022 #47 Jamaa watapiga pesa balaa