IGP Wambura: Polisi hatuhusiki na matukio ya utekaji watu

Mungu wa Mbinguni muumba wa mbingu na ardhi. Ukawajaze hekima na neema wanangu. Wasijekufikiria wala kuwaza wala kushawishika kuwa maaskari polisi, katika Jina na damu ya Yesu kristo Amen.
 
Wazee wa kazi naona wanajichanganya wanakosea kujibu kama wapo rumande..
 
Unamkoseaje adabu mtu asiye na adabu?, jeshi la polisi limefeli pakubwa sana, huwezi kumshikiria mtu kinyumee na sheria mwezi mzima ,ndugu wametoa taarifa polisi nakupewa RB, polisi wanaanza kutafuta mtu mwisho wa siku wanakuja kukiri wanamshikiria, hivi wana adabu hawa ambao wanadai wana adabu?
 
Hapohapo wanae mwananchi waliomteka karibu mwezi mzima...afya ya akili inahusika hapo
 
Mungu atakulaani , utakufa mikononi mwa shetani
Baada ya kustaafu Omari Mahita, Aliyekuwa IGP wa Tanzania alikamatwa na kushitakiwa kwa kesi ya Aibu ya kumbaka House girl wake mwenyewe kisha kumjaza mimba, na kukataa matunzo ya mtoto

Aliburuzwa kwenye Mahakama ya Kinondoni mchana kweupe pee bila huruma yoyote, chama chake cha CCM kiliminya kimyaa kama vile hakimjui!
 
Hawa jamaa wanaweza hata kuanza kupanga matukio kujiteka kujustify kauli ya Boss wao
 
Kenya wao wana chombo maalumu cha kuwasimamia na kuchunguza utendaji wa jeshi lao la police.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…