City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Aisee 😯
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna haja ya kuongeza neno, Taarifa yake hii hapa.
---
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura amesema jeshi hilo halihusiki na matukio yanayodaiwa kuwa ni ya utekaji, kwani jukumu lake la msingi na la kikatiba ni kuhakikisha linalinda usalama wa raia na mali zao.
IGP Wambura amesema hayo leo Jumatatu Julai 15, 2024 akiwa mkoani Simiyu katika ziara ya kuzungumza na maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali.
Hivi karibuni, Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni akiwa bungeni alitaja vyanzo vya matukio ya utekaji na kupotea kwa watu kuwa ni wivu wa mapenzi, ushirikina, kugombania ardhi, urithi, kujiteka, visasi na utapeli.
Mwaka huu, Mwananchi limeripoti matukio ya watu zaidi ya 10 kutoweka na wengine baadaye kuelezwa kuwapo mikononi mwa Polisi.
Jana Julai 14, 2024 Polisi Mkoa wa Tanga lilikiri kumshikilia kada wa Chadema, Kombo Mbwana (29) kwa tuhuma za matumizi mabaya ya mtandao aliyetoweka siku 29 zilizopita.
TOA MAONI YAKO
Hakuna mtu mwenye akili alitegemea Wambura angesema wanahuska na utekaji. Hata Magufuli alimwamrisha Mwigulu Nchemba atangaze serikali haihusiki na jaribio la kuumua Tundu, lakini kwa busara Mwigulu alikataa kutangaza, akiwa waziri wa mambo ya ndaniMkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura amesema jeshi hilo halihusiki na matukio yanayodaiwa kuwa ni ya utekaji, kwani jukumu lake la msingi na la kikatiba ni kuhakikisha linalinda usalama wa raia na mali zao.
"A Terror Within."Hakuna haja ya kuongeza neno, Taarifa yake hii hapa.
---
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura amesema jeshi hilo halihusiki na matukio yanayodaiwa kuwa ni ya utekaji, kwani jukumu lake la msingi na la kikatiba ni kuhakikisha linalinda usalama wa raia na mali zao.
IGP Wambura amesema hayo leo Jumatatu Julai 15, 2024 akiwa mkoani Simiyu katika ziara ya kuzungumza na maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali.
Hivi karibuni, Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni akiwa bungeni alitaja vyanzo vya matukio ya utekaji na kupotea kwa watu kuwa ni wivu wa mapenzi, ushirikina, kugombania ardhi, urithi, kujiteka, visasi na utapeli.
Mwaka huu, Mwananchi limeripoti matukio ya watu zaidi ya 10 kutoweka na wengine baadaye kuelezwa kuwapo mikononi mwa Polisi.
Jana Julai 14, 2024 Polisi Mkoa wa Tanga lilikiri kumshikilia kada wa Chadema, Kombo Mbwana (29) kwa tuhuma za matumizi mabaya ya mtandao aliyetoweka siku 29 zilizopita.
TOA MAONI YAKO
mkuu hapa tz hatuna waandishi tuna washika maiki tu..... wanaogopa kuuliza zaidi wanachojua ni kusifia na kuwa machawahao waandishi aloongea nao hawakumuuliza maswali
Ila wale GESTAPO walikua balaa niliona documentary wanamkamata hadi General wa jeshi na wanasepa nae
Kuna matatizo ya communications katika utendaji kazi polisi.Anazidi kuonyesha madhaifu ya jeshi la polisi
Ni kweli naunga mkono hojaHakuna haja ya kuongeza neno, Taarifa yake hii hapa.
---
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura amesema jeshi hilo halihusiki na matukio yanayodaiwa kuwa ni ya utekaji, kwani jukumu lake la msingi na la kikatiba ni kuhakikisha linalinda usalama wa raia na mali zao.
IGP Wambura amesema hayo leo Jumatatu Julai 15, 2024 akiwa mkoani Simiyu katika ziara ya kuzungumza na maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali.
Hivi karibuni, Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni akiwa bungeni alitaja vyanzo vya matukio ya utekaji na kupotea kwa watu kuwa ni wivu wa mapenzi, ushirikina, kugombania ardhi, urithi, kujiteka, visasi na utapeli.
Mwaka huu, Mwananchi limeripoti matukio ya watu zaidi ya 10 kutoweka na wengine baadaye kuelezwa kuwapo mikononi mwa Polisi.
Jana Julai 14, 2024 Polisi Mkoa wa Tanga lilikiri kumshikilia kada wa Chadema, Kombo Mbwana (29) kwa tuhuma za matumizi mabaya ya mtandao aliyetoweka siku 29 zilizopita.
TOA MAONI YAKO
Kama wao hawahusiki, Je, ni akina nani hasa ambao wanahusika??Hakuna haja ya kuongeza neno, Taarifa yake hii hapa.
---
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura amesema jeshi hilo halihusiki na matukio yanayodaiwa kuwa ni ya utekaji, kwani jukumu lake la msingi na la kikatiba ni kuhakikisha linalinda usalama wa raia na mali zao.
IGP Wambura amesema hayo leo Jumatatu Julai 15, 2024 akiwa mkoani Simiyu katika ziara ya kuzungumza na maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali.
Hivi karibuni, Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni akiwa bungeni alitaja vyanzo vya matukio ya utekaji na kupotea kwa watu kuwa ni wivu wa mapenzi, ushirikina, kugombania ardhi, urithi, kujiteka, visasi na utapeli.
Mwaka huu, Mwananchi limeripoti matukio ya watu zaidi ya 10 kutoweka na wengine baadaye kuelezwa kuwapo mikononi mwa Polisi.
Jana Julai 14, 2024 Polisi Mkoa wa Tanga lilikiri kumshikilia kada wa Chadema, Kombo Mbwana (29) kwa tuhuma za matumizi mabaya ya mtandao aliyetoweka siku 29 zilizopita.
TOA MAONI YAKO
Endapo kama Polisi hawahusiki, Je, ni akina nani hasa wanaohusika??Hakuna haja ya kuongeza neno, Taarifa yake hii hapa.
---
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura amesema jeshi hilo halihusiki na matukio yanayodaiwa kuwa ni ya utekaji, kwani jukumu lake la msingi na la kikatiba ni kuhakikisha linalinda usalama wa raia na mali zao.
IGP Wambura amesema hayo leo Jumatatu Julai 15, 2024 akiwa mkoani Simiyu katika ziara ya kuzungumza na maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali.
Hivi karibuni, Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni akiwa bungeni alitaja vyanzo vya matukio ya utekaji na kupotea kwa watu kuwa ni wivu wa mapenzi, ushirikina, kugombania ardhi, urithi, kujiteka, visasi na utapeli.
Mwaka huu, Mwananchi limeripoti matukio ya watu zaidi ya 10 kutoweka na wengine baadaye kuelezwa kuwapo mikononi mwa Polisi.
Jana Julai 14, 2024 Polisi Mkoa wa Tanga lilikiri kumshikilia kada wa Chadema, Kombo Mbwana (29) kwa tuhuma za matumizi mabaya ya mtandao aliyetoweka siku 29 zilizopita.
TOA MAONI YAKO
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Sativa: Nilitekwa na Jeshi la Polisi wakiwa na lengo la kuniua, hata nikipotea kesho Jeshi la Polisi litakuwa limehusika
- Mahakama yaamuru Polisi kuwatafuta viongozi wa BAVICHA (kina Deusdedith Soka) waliopotea
- Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Kwanini hamuwachukulii hatua wanaolitumia jina lenu vibayaHakuna haja ya kuongeza neno, Taarifa yake hii hapa.

Itakuwa waliogopa kutekwahao waandishi aloongea nao hawakumuuliza maswali