IGP Wambura: Polisi hatuhusiki na matukio ya utekaji watu


Sina maoni zaidi ya kuomba watu wafuatilie upya Kesi ya uhujumu uchumi na uhaini ya Mbowe Halafu wajikumbushe ya Dr Ulimboka
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura amesema jeshi hilo halihusiki na matukio yanayodaiwa kuwa ni ya utekaji, kwani jukumu lake la msingi na la kikatiba ni kuhakikisha linalinda usalama wa raia na mali zao.
Hakuna mtu mwenye akili alitegemea Wambura angesema wanahuska na utekaji. Hata Magufuli alimwamrisha Mwigulu Nchemba atangaze serikali haihusiki na jaribio la kuumua Tundu, lakini kwa busara Mwigulu alikataa kutangaza, akiwa waziri wa mambo ya ndani
 
"A Terror Within."


Plausible deniability!
 

Kwa kawaida mimi nawaunga mkono TANPOL katika mikakati ya kutokomeza uhalifu.
Lakini matukio ya utekaji yanalitia doa Polisi.
Majuzi huko Simiyu IGP amekana Polisi kuhusika na utekaji.
(Guardian , 17July 2024,pg1)
Lakini wakati huo huo kuna habari ya mtu anaitwa Kombo Mbwana kutekwa na watu wasiojuliana Juni 15, hadi hapo baada ya mwezi mmoja Kaimu Kamanda wa RPC Tanga ACP Zacharia Bernard kukiri kuwa wanamshikilia.
(Mwananchi, 17 July, 2024,pg5)
IGP sijui atalidadavua vipi tamko lake na matukio halisi.
Hili tukio linamshushia hadhi na umakini.
 
Nilisoma kwa Bonny (meya mstaafu) kuna jamaa alitekwa huko Dar, walipornda eneo la tukio wakaokota ID card (NIDA) ya mtu eneo la tukio. Ndugu kufika polisi wakamkuta mwenye ile ID ni polisi😂 na polisi wanakana kuteka
 
Ni kweli naunga mkono hoja
 
IGP hovyo kabisa kwa sasa wamehamia kuteka watoto wa shule.
 
Kama wao hawahusiki, Je, ni akina nani hasa ambao wanahusika??
 
Endapo kama Polisi hawahusiki, Je, ni akina nani hasa wanaohusika??
 
Kwanini hamuwachukulii hatua wanaolitumia jina lenu vibaya
 
🥶
 

"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."

Oliver Reginald Tambo, a former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.

Aidha, Bw. Osama bin Laden alipokea lawama nyingi Sana kutoka kwa Serikali ya Marekani na CIA baada ya kutekeleza mashambulizi yake ya kutumia ndege, mashambulizi yanayojulikana sana kwa jina la September Eleven ya Mwaka 2001. Katika kujibu mapigo ya lawama hizo Osama bin Laden aliwajibu Marekani hivi:-

"If you undermine our security, we undermine yours too, and if you kill our people we kill yours too. The choice is yours."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…