Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Tuwajengee minara wezi wa mali za watu binafsi, waharibifu wa miundombinu ya Serikali na waliowata vidole waliopiga kura?? Hui nao ni mzahaHakuna namna nyingine sahihi sana ya kuwaenzi hawa zaidi ya kuwajengea minara katika mikoa husika. Mnara mkuu utawekwa Dar Es salaam. Utaitwa mnara wa pili wa mashujaa. Kisha kila mkoa ambao.palitokea mauaji ya halaiki pajengwe mnara kisha majina yote ya waliouawa yawekwe hapo.
Kadhalika picha zao zitafutwe na zitafutiwe namna ambayo zitahifadhiwa vyema eneo hilo, iwe kielekriloniki au kwenye faili.
Sehemu hizi zitakuwa kama vituo vya hija na maeneo ya makumbusho ambapo vizazi vijavyo vitapata kujua kuwa palikuwepo na vijana ambao damu zao zilimwagika kwa ajili ya ukombozi wa pili.
Bila kujali kama walikwapua au nini, kitendo cha kutoka siku hiyo kuandamana ni ushujaa tosha na ujumbe tosha kuwa tendo lao lilileta mabadiliko.
Kadhalika wasisahaulike wale ambao hawakutoka kuandamana ila vifo viliwakuta katika purukushani hizo.
Ukiacha picha zao (passport size), ziwepo pia picha za matukio yote ya mauaji na ukatili wote uliofanyika. Hii italeta heshima kwa marehemu na faraja kwa wafiwa. Pia italeta hofu na uwajibikaji kwa watawala.
Baba uwasamehe makosa yao.
Raha ya milele uwape ee Bwana, na mwanga wa milele uwaangazie. Wapumzike kwa amani, Amina 🙏
Nimeona matukio mengi ila la kukatwa vidole sijaona. Na ukweli ni kwamba sio utawala huu utafanya hivyo, bali utawala ujaoTuwajengee minara wezi wa mali za watu binafsi, waharibifu wa miundombinu ya Serikali na waliowata vidole waliopiga kura?? Hui nao ni mzaha
Magaidi haoHakuna namna nyingine sahihi sana ya kuwaenzi hawa zaidi ya kuwajengea minara katika mikoa husika. Mnara mkuu utawekwa Dar Es salaam. Utaitwa mnara wa pili wa mashujaa. Kisha kila mkoa ambao.palitokea mauaji ya halaiki pajengwe mnara kisha majina yote ya waliouawa yawekwe hapo.
Kadhalika picha zao zitafutwe na zitafutiwe namna ambayo zitahifadhiwa vyema eneo hilo, iwe kielekriloniki au kwenye faili.
Sehemu hizi zitakuwa kama vituo vya hija na maeneo ya makumbusho ambapo vizazi vijavyo vitapata kujua kuwa palikuwepo na vijana ambao damu zao zilimwagika kwa ajili ya ukombozi wa pili.
Bila kujali kama walikwapua au nini, kitendo cha kutoka siku hiyo kuandamana ni ushujaa tosha na ujumbe tosha kuwa tendo lao lilileta mabadiliko.
Kadhalika wasisahaulike wale ambao hawakutoka kuandamana ila vifo viliwakuta katika purukushani hizo.
Ukiacha picha zao (passport size), ziwepo pia picha za matukio yote ya mauaji na ukatili wote uliofanyika. Hii italeta heshima kwa marehemu na faraja kwa wafiwa. Pia italeta hofu na uwajibikaji kwa watawala.
Baba uwasamehe makosa yao.
Raha ya milele uwape ee Bwana, na mwanga wa milele uwaangazie. Wapumzike kwa amani, Amina 🙏
Soma hapa:-Nimeona matukio mengi ila la kukatwa vidole sijaona. Na ukweli ni kwamba sio utawala huu utafanya hivyo, bali utawala ujao
“Kila raia ana haki ya kushiriki katika mambo ya utawala wa nchi, moja kwa moja au kwa kupitia wawakilishi aliowachagua kwa uhuru.”
Kwa nini wewe jamaa una roho mbaya kiasi hiki. Nini kilikupata kwenye makuzi yako?Tuwajengee minara wezi wa mali za watu binafsi, waharibifu wa miundombinu ya Serikali na waliowata vidole waliopiga kura?? Hui nao ni mzaha
Sina tatizo la makuzi, nimesoma vizuri (MBA) hadi nikastaafu, nimefanya kazi za juu Serikalini na nimetembea dunia (Ulaya, Africa, Middle East na Asia).Kwa nini wewe jamaa una roho mbaya kiasi hiki. Nini kilikupata kwenye makuzi yako?
Kwa maelezo yako, wewe ni mnufaika wa mfumo. No wonderSina tatizo la makuzi, nimesoma vizuri (MBA) hadi nikastaafu, nimefanya kazi za juu Serikalini na nimetembea dunia (Ulaya, Africa, Middle East na Asia).
Naandika kuwakanya na kuwaokoa vijana wanaofuata mkumbo
Kuna dhambi gani mtu mwadilifu kunufaika na mfumoKwa maelezo yako, wewe ni mnufaika wa mfumo. No wonder
Hakuna dhambi. Kadhalika walio nje ya mfumo wanaona namna keki inavyoliwa. Ndio maana usishangae target ilikuwa mali za wanufaika na mfumo pamoja na miundombinuKuna dhambi gani mtu mwadilifu kunufaika na mfumo
Mh 😷Soma hapa:-
WAANDAMANAJI WAKATA KIDOLE CHA RAIA ALIYEPIGA KURA😭
Ni uchungu mkubwa kuona raia anakatwa kidole kwa kosa la kutimiza wajibu wake wa kikatiba — kupiga kura. Kosa lake ni lipi? Ni kutumia haki yake ya kidemokrasia. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 21(1) inasema wazi:
“Kila raia ana haki ya kushiriki katika mambo ya utawala wa nchi, moja kwa moja au kwa kupitia wawakilishi aliowachagua kwa uhuru.”
Hivyo basi, kumdhuru mtu kwa sababu ya kura yake ni uvunjifu wa sheria, unyanyasaji wa haki za binadamu, na ni kushambulia msingi wa demokrasia yenyewe.
Kidole hicho...
- Ojuolegbha
- kidole kura raia waandamanaji
- Replies: 33
- Forum: Jukwaa la Siasa
Kwa nini unamtetea abdul?We jamaa imekuwa too much sasa. Kwani Abdul alifanya kosa kuwa mtoto wa rais? Wivu wa kipumbavu. Itafika wakati vijana mtakosa nguvu za kiume kuwaingilia wake zenu mtaishia kumlaumu Abdul
Bi chura anafurumshwa. Come 0912Mnara wa kuwakumbuka wahalifu? Hapana. Nenda kaumbe "Tanzania" yako ufanye huo upuuzi.
Wahalifu wapo jengo jeupe. Usikabili ulipoangukia bali ulipojikwaaMnara wa kuwakumbuka wahalifu? Hapana. Nenda kaumbe "Tanzania" yako ufanye huo upuuzi.
Miundombinu inakuathiri nini wewe maskini? Huna mali na akili huna pia.Hakuna dhambi. Kadhalika walio nje ya mfumo wanaona namna keki inavyoliwa. Ndio maana usishangae target ilikuwa mali za wanufaika na mfumo pamoja na miundombinu