Ijue bahari: Baharini kuna misitu mikubwa yenye miti mikubwa ya kutosha kuchana mbao kama utazamia

Umeleta picha za kazi za sanaa na siyo picha za msitu chini ya maji.

Kuna uoto mwingi sana baharini lakini huwezi kukuta mbuyu au mwerezi lakini miti inayoota kwenye maji ni mangroves na michache inayofanania hivyo.

Hautakuta mti wenye hadhi ya msonobari au mtondoo kule.

Nendq pale UDSM kitivo cha marine ujielimishe eco system ya baharini
 
Chai
 
Hua naangalia documentary kule Nat Geo wild
 
Chai
 
Hesabu hesabu hesabu na elimu

Kama shackle moja Ina 27.5cm Basi 10 shackle Ni 275cm sawa na inch 110 huu Ni urefu wa wheel base ya land Rover 110
 
Umepataje asilimia hizo ikiwa data za upande wa pili huna?
Ili upate asilimia lazima uwe na data vya vyote vya duniani na data za huko majini Kisha ndo upate asilimia kuwa tunavovifahamu Ni asilimia tano ,

Wa tz sijui Africa elimu hawana
 
Hesabu hesabu hesabu na elimu

Kama shackle moja Ina 27.5cm Basi 10 shackle Ni 275cm sawa na inch 110 huu Ni urefu wa wheel base ya land Rover 110
Typing error hiyo mkuu ni 27.5metres.
Shekeli ni kipimo cha nanga ile nyororo kati ya joint moja na nyingine. Hivyo ikitolewa oda ya kuangusha nanga anayeshusha anatumia hizo kupima ni mita ngapi
 
โˆ…๐˜ ๐˜ฐ๐˜ถ ๐˜ค๐˜ข๐˜ฏ'๐˜ต ๐˜ด๐˜ฆ๐˜ฆ ๐˜ต๐˜ฉ๐˜ช๐˜ด ๐˜ค๐˜ฐ๐˜ฎ๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ต ๐˜ฃ๐˜ฆ๐˜ค๐˜ข๐˜ถ๐˜ด๐˜ฆ ๐˜บ๐˜ฐ๐˜ถ ๐˜ข๐˜ณ๐˜ฆ ๐˜ถ๐˜ด๐˜ช๐˜ฏ๐˜จ ๐˜ข ๐˜Š๐˜ฉ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ฆ๐˜ด๐˜ฆ ๐˜ฎ๐˜ฐ๐˜ฃ๐˜ช๐˜ญ๐˜ฆ
 
Hahaha [emoji23][emoji74] maji ni hatari ila Hawa jamaa akili mingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ