Nimekaa huko hivyo nilichoandika nimekishuhudia hakuna kashfa hapo.
wee umepita tu haujakaa wenye kukaa ndio sie tuliopo na mpaka watoto tumezaa acha kudanganya watu
eti wacomoro wanakula bila kunawa , hilo ni suala la mtu binafsi kama uliona mtu kafanya hivyo hilo ni suala lake binafsi inamaana tukisema watanzania wote malaya wee utaridhika kwasababu tu buguruni kuna malaya wanajiuza
au tukisema wabongo matapeli majambazi ndio watanzania wote matapeli
comores utatembea na hela yako hata mamilion ya mapesa mfukoni hakuna mtu atakusumbua hata iwe saa nane sa usiku njoo bongo uone elfu 20 tu inaweza kua ndio ajali ya kifo chako
na eti cjui unasema unaweza ukatombewa mkeo hivi unaona na usiweze kufanya lolote acha huo uwongo
na eti unasema wacomores wamegawika makabila 3 na hayo matatu hata hukuyaelezea sasa nakwambia hivi
comores ni mkusanyiko wa visiwa 4 ambavyo ni NGAZIJA , MOHELI, ANZOUANI, na MAYOTTE ila hii MAYOTTE bado inatawaliwa na wa FRANCE lakini serikali ya comores wako mbioni kutafuta solution ya kukipata kisiwa chao ijapo kua ni vigumu maana hata hao wamayote wako radhi wao kutawaliwa na wa france kutokana na hali ya ugumu wa maisha yaliopo comores .
eti watu wanakunya hadharani acha huo uongo cjui wee uliona wapi hayo mabo na cjui ulikua unakaa mji gani maana kila nyumba ya mcomores kuna choo hata kama ni cha pasport size sema tu comores kuna uhaba wa maji kutokana na ardhi yao ni ya volcano jiwe tupu vigumu kuchimba visima hutumia maji ya mvua panajengwa tu hodhi kubwa lina hifadhi maji hata kama ni mwaka na hayo maji hitumiwa na wala watu hawapati madhara yoyote ila kwa waliopo tu moroni ndio huitumia maji ya bomba lakini kwa mashamba hutumia maji tu y mvua
na mvua zisiponyesha watu hupata tabu sana
umesema eti wavivu, unajua wacomores wengi kila familia utakuta watu zaid ya 3 wapo france hawa ndio husaidia famila na mtoto akipasi masomo humfanyia scholership ya msomo france na kila mtoto anaekua saivi akimaliza tu masomo huondoka comores na kwenda sehemu nyengine kusoma kama moroco, france, senegal egypt saudia ......
capital city ni ngazija na wafanya biashara wengi ni wa anzouani kama tunavyoona wa pemba kibiashara basi wanzuani ndivo walivo
sasa nakuomba nenda kafanye uchunguzi tena comores uje kuandika post yako usione tu mabaya ya comores ona na mazuri yake
kila sehemu kuna wabaya na wema siasa ya comores ni nzuri kuliko siasa ya tanzania kule wakati wa uchaguzi hutosikia mauaji njoo bongo uone na zenji uatafikiri tupo dafur
comores utaongea unachotaka hata kumtukana raisi fanya tz uone kama hutapotea na watu wasiojulikana
naishia hapa . karibuni comores visiwa vya amani visiwa vya mastarehe .