Ijue Comoro: Fursa za Biashara na Changamoto Zake


Nilidhani una A-Z, anyway nahisi labda hawa jamaa wa Zanlink.....Fatilia.

Na mlolongo wa route was supposed to be
Dar-Moroni-Fomboni-Anjouan
na kwa calculation tulizofanya kipindi hiko ni ilikuwa kwa meli ya 35knots speed ingechukua 12 hours to Moroni,ila hatukuendelea niliiacha report na proposal imetumwa serikalini kule.
 
Sikuwa interested sana kwenye hilo, ndio maana sikufuatilia zaidi. Ila Meli niliona Moroni bandarini.

Hii ilikuwa ipige route za Dar - Moroni - Anjoun - Madagascar. Lakini baada ya kufika hapa waka cancel route ya Madagascar.

Kitu nilicho kusikia huku, Ili ifanye biashara kubwa, lazima ukubali kula na wakubwa pasu kea pasu, tofauti na hapo Kazi inakuwa ngumu. Biashara nyingi kubwa huku zinafungwa kwa ajili hiyo.
 
Kama umesoma vizuri ukaelewa, nilisema sielewi kwanini pesa yao ina thamani ukilinganisha na ya kwetu.

Kwa mfano 1000 ya Comoro ni almost 5400 ya kwetu ukiipeleka kwenye USD unapata ngapi?
Umesema pesa yao ipo juu zaidi ya dola na Euro,Nahisi ulichokiandika hukijui
 
Sio yeye tu ambaye haelewi. Hata mimi sielewi unafikaje Ufaransa?
Bro kwa uchache nilisikia kwamba comoro walitawaliwa na ufaransa. Kumbuka wafaransa na wareno walitawala makoloni yao kama sehemu ya nchi zao (ufaransa na ureno).

Wakati wa harakati za uhuru walitakiwa kupiga kura za kuamua kuwa huru au kuendelea kuwa chini ya ufaransa. Kisiwa cha mayote walikataa kuwa huru na hivyo waliamua kuendelea kuwa chini ya ufaransa hivyo hadi leo ni sehemu ya ufaransa.
Nakaribisha anayefaham zaidi atusaidie ila nliwahi kusikia hivyo.
 
Hujakosea ....mayotte walitaka wenyewe kua chini ya ufaransa
 
Kwa hiyo nikiwa Mayote kwenda Paris ni sawa na kuwa Dar na kwenda Mwanza? Si ndio?
 
Nilichelewa kuona hii post umeongea mambo mengi ambayo umetukashif sisi wakomoro na inaonyesha huijui comoro tafadhali rekabisha post yako halafu tuje kukusaidia maana naona umeropokwa mambo mengi umeiponda comoro na ukaipônda zanzibar inaonekana una ubaguzi wa visiwa sisi ndio tunaokaa comores tunaijua comores watanzania ndio namba moja walioiharibu comores kwa kuleta bangi na maunga saivi wamejaa kila kona ya ngazija wengine hata kurudi kwao hawana tena nia ya kuridi ninacho kuomba usiropokwe tu kutoa mambo ambayo huyajui
 
Nimekaa huko hivyo nilichoandika nimekishuhudia hakuna kashfa hapo.
 
Nimekaa huko hivyo nilichoandika nimekishuhudia hakuna kashfa hapo.
wee umepita tu haujakaa wenye kukaa ndio sie tuliopo na mpaka watoto tumezaa acha kudanganya watu
eti wacomoro wanakula bila kunawa , hilo ni suala la mtu binafsi kama uliona mtu kafanya hivyo hilo ni suala lake binafsi inamaana tukisema watanzania wote malaya wee utaridhika kwasababu tu buguruni kuna malaya wanajiuza
au tukisema wabongo matapeli majambazi ndio watanzania wote matapeli
comores utatembea na hela yako hata mamilion ya mapesa mfukoni hakuna mtu atakusumbua hata iwe saa nane sa usiku njoo bongo uone elfu 20 tu inaweza kua ndio ajali ya kifo chako
na eti cjui unasema unaweza ukatombewa mkeo hivi unaona na usiweze kufanya lolote acha huo uwongo
na eti unasema wacomores wamegawika makabila 3 na hayo matatu hata hukuyaelezea sasa nakwambia hivi
comores ni mkusanyiko wa visiwa 4 ambavyo ni NGAZIJA , MOHELI, ANZOUANI, na MAYOTTE ila hii MAYOTTE bado inatawaliwa na wa FRANCE lakini serikali ya comores wako mbioni kutafuta solution ya kukipata kisiwa chao ijapo kua ni vigumu maana hata hao wamayote wako radhi wao kutawaliwa na wa france kutokana na hali ya ugumu wa maisha yaliopo comores .
eti watu wanakunya hadharani acha huo uongo cjui wee uliona wapi hayo mabo na cjui ulikua unakaa mji gani maana kila nyumba ya mcomores kuna choo hata kama ni cha pasport size sema tu comores kuna uhaba wa maji kutokana na ardhi yao ni ya volcano jiwe tupu vigumu kuchimba visima hutumia maji ya mvua panajengwa tu hodhi kubwa lina hifadhi maji hata kama ni mwaka na hayo maji hitumiwa na wala watu hawapati madhara yoyote ila kwa waliopo tu moroni ndio huitumia maji ya bomba lakini kwa mashamba hutumia maji tu y mvua
na mvua zisiponyesha watu hupata tabu sana
umesema eti wavivu, unajua wacomores wengi kila familia utakuta watu zaid ya 3 wapo france hawa ndio husaidia famila na mtoto akipasi masomo humfanyia scholership ya msomo france na kila mtoto anaekua saivi akimaliza tu masomo huondoka comores na kwenda sehemu nyengine kusoma kama moroco, france, senegal egypt saudia ......
capital city ni ngazija na wafanya biashara wengi ni wa anzouani kama tunavyoona wa pemba kibiashara basi wanzuani ndivo walivo
sasa nakuomba nenda kafanye uchunguzi tena comores uje kuandika post yako usione tu mabaya ya comores ona na mazuri yake
kila sehemu kuna wabaya na wema siasa ya comores ni nzuri kuliko siasa ya tanzania kule wakati wa uchaguzi hutosikia mauaji njoo bongo uone na zenji uatafikiri tupo dafur
comores utaongea unachotaka hata kumtukana raisi fanya tz uone kama hutapotea na watu wasiojulikana
naishia hapa . karibuni comores visiwa vya amani visiwa vya mastarehe .
 
Asante kwa maelezo safi, Mwenyewe nilistuka sana nliposoma hii post, nilimkumbuka jamaa flani alikuwa ana sema Arusha kuna ubaguzi wa makabila, ila nilikaa miaka mitano sikuona huo ubaguzi
 
Shenzi hao tapeli wa kitanzania. Na ndio hao wanaeneza comoro kuna fulsa sana ya biashara ili muende kwa fujo wawatapeli.
Hebu fikiri nchi yenyewe kaduchu tu hakajai mkono. Watu wenyewe wavivu kuliko wazanzibari. Utajiri wa ardhini kama mafuta au madini hawana kitu. Hizo fursa za biashara kila mtanzania aende huko zinatoka wapi?
Fursa zipo hapahapa nchini sio vinchi kama sawa kata au wilaya za tz.
Ukiniambia fursa drc au sudan nitakusikiliza japo huko napo changamoto za usalama ni kubwa.
 
mim nimekuamin sana wewe sheh.nimewaz tu utamdun gan wa kunya pemben yKo mtu kakaa? hata mangati hafanyi hivyo.
na mbona napakia sana mizigo ya wakomoro kwenye precion hapa ramp.
 
Popote duniani mtza kaa nae mbali hata ukiwasikia wanaongea kiswahili
 
Umeambiwa pesa yao Ina thamani kuliko yetu,usipoenda wewe wataenda wengine.
Kama wanajazana kariakoo kufanya shopping kwann wasiwe fursa.
Niliongea na mcomoro mmoja ukitaka kuuza tafuta mcomoro ndo ajifanye ndo mwenye mzigo utauza bila hautouza ni wabaguzi kwenye biashara.
 
Mali kuoza mfano Mihogo, viazi, magimbi ukipata jinsi ya kufikisha kule bila kuharibika pesa ipo.
Mifugo mtihani sijui Wana nini na bahari wanakufa sana baharini.
 
kaka naomba namba yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…