Ijue formula rahisi ya kujua jambo kama ni baya au zuri

Ijue formula rahisi ya kujua jambo kama ni baya au zuri

Hahahahaa, umetisha sana.

Mimi nimeweka nyama=unyama, kwa hiyo kula nyama sio jambo zuri.

Nyingine, boya=uboya, kwa hiyo boya siyo zuri.

Pombe=upombe. Hapa sijaelewa.
Hapo kwenye pombe una badilisha. Pombe ipo kwenye vitu vinavyo levya so inakuwa U-levi... Hakikisha neno linakuwa na mantiki kwa mfano kusoma hapo huwezi andika u-kusoma, badala yake uta andika " U-somi"
 
Ukitaka kujua kama jambo ni baya au zuri andika herufi U kabla ya jina la jambo hilo. Jina utakalo lipata baada ya kuweka herufi U ndilo litakalo kupa majibu kama jambo hilo ni zuri ama sio zuri.

Natoa mifano kadhaa.

1. Dini.

Ukiweka herufi U kabla ya neno Dini unapata neno UDINI.

Maana yake ni kwamba DINI sio jambo zuri. Na kweli dini sio nzuri. Hakuna kitu kimeleta matatizo mazito duniani kama dini.

2. Kabila.

Ukiweka herufi U kabla ya neno kabila unapata UKABILA.

UKABILA sio mzuri . KWA hiyo kabila sio kitu kizuri. Makabila hayafai kuwepo.

3. Tajiri= UTAJIRI.

UTAJIRI ni mzuri KWA hiyo kuwa tajiri ni kitu kizuri ( hakikisha unakuwa tajiri)

Ongeza mifano YAKO mingine
LIKUD kuwa makin amka mapem fanya fanya mazoez ndug yang utakuja kunishukuru baadae
 
Siku hizi wamebadili Neno kupunguza makali,kichaa anaitwa mtu mwenye matatizo ya afya ya Akili na utafiti unaonesha katika kila watu wanne mmoja gari limewaka
 
Siku hizi wamebadili Neno kupunguza makali,kichaa anaitwa mtu mwenye matatizo ya afya ya Akili na utafiti unaonesha katika kila watu wanne mmoja gari limewaka
Wewe ndio kichaa hapa. Umekuja kuandika ambacho vilaza wenzako tayari wamekiandika kwenye komenti za awali.
 
Tunda = Utunda..... Ndio kinini hiki Kwa mfano !!?? Maliza dozi asee

Wewe ni kilaza mkuu. Hupendi kufikiri. Tunda lina fall kwenye vitu vitamu. Tunda ni Tamu. So hapo inakuwa U-tamu. Umejiona ulivo kuwa mwehu ?
 
We talalira kweli

KWA sababu nimesema dini ni mbaya right?

Ur comment does not come as a surprise to me KWA sababu najua Akili YAKO bado haija fikia kwenye phase ya kujua kwamba DINI ni kitu kibaya na hakifai kuwepo duniani... Siku akili YAKO ikifikia kwenye stage hiyo unaweza kuelewa nilicho kiandika lakini sasa hivi ur still an ignorant one
 
Ukitaka kujua kama jambo ni baya au zuri andika herufi U kabla ya jina la jambo hilo. Jina utakalo lipata baada ya kuweka herufi U ndilo litakalo kupa majibu kama jambo hilo ni zuri ama sio zuri.

Natoa mifano kadhaa.

1. Dini.

Ukiweka herufi U kabla ya neno Dini unapata neno UDINI.

Maana yake ni kwamba DINI sio jambo zuri. Na kweli dini sio nzuri. Hakuna kitu kimeleta matatizo mazito duniani kama dini.

2. Kabila.

Ukiweka herufi U kabla ya neno kabila unapata UKABILA.

UKABILA sio mzuri . KWA hiyo kabila sio kitu kizuri. Makabila hayafai kuwepo.

3. Tajiri= UTAJIRI.

UTAJIRI ni mzuri KWA hiyo kuwa tajiri ni kitu kizuri ( hakikisha unakuwa tajiri)

Ongeza mifano YAKO mingine
Neno USINGIZI ukiweka U kabla maana yake inakuaje?
 
Neno USINGIZI ukiweka U kabla maana yake inakuaje?

Na neno umasikini je?

Tumia akili dogo. Usikariri. Nenda kwenye mzizi au shina la neno. Tazama pia aina ya neno, ni kivumishi, kitenzi etc.

Au Tazama neno linalo shabihiana na neno lako.

Neno Usingizi linatokana ama lina shabihiana na neno lala/Kulala.

So obviously Usingizi ndio end product ya neno according to my theory.

Ulicho kiuliza hapo ni SAWA na kusema Neno UTAJIRI? Wakati nimesha toa mfano hapo juu.

Unacho takiwa ni kujifunza na kutafakari relevance and rationality ya nadharia yangu hapo juu
 
Back
Top Bottom