Ijue formula rahisi ya kujua jambo kama ni baya au zuri

Ijue formula rahisi ya kujua jambo kama ni baya au zuri

Hakusema dini ni mbaya, kasema udini ni mbaya. Kuna tofauti.

Theory yangu inasema uki chukua herufi " u" ukaiweka kabla ya neno au jina, jina au neno jipya utakalo lipata kama jina au neno hilo jipya lina maana nzuri BASI na mzizi wa jina /neno ni jambo zuri and vice versa.

SASA KWA sababu ukiweka herufi " u" kabla ya jina dini unapata " UDINI" tafsiri yake ni kwamba DINI ni kitu kibaya.
 
Hapo kwenye pombe una badilisha. Pombe ipo kwenye vitu vinavyo levya so inakuwa U-levi... Hakikisha neno linakuwa na mantiki kwa mfano kusoma hapo huwezi andika u-kusoma, badala yake uta andika " U-somi"
Bado kuna changamoto, Sigara, siwezi kusema u sigara, sigara unavuta, kwa hiyo unasema uvutaji. Bado haiko specific. Labda hivi, ukivuta sigara unatoa moshi; umoshi. Bado.
 
Tatizo la kua na akiri mingi ila ikose matumizi, ndio unafikilia vitu vya ajabu kama ivi.
 
Back
Top Bottom