Theory yangu inasema uki chukua herufi " u" ukaiweka kabla ya neno au jina, jina au neno jipya utakalo lipata kama jina au neno hilo jipya lina maana nzuri BASI na mzizi wa jina /neno ni jambo zuri and vice versa.
SASA KWA sababu ukiweka herufi " u" kabla ya jina dini unapata " UDINI" tafsiri yake ni kwamba DINI ni kitu kibaya.
Hapo kwenye pombe una badilisha. Pombe ipo kwenye vitu vinavyo levya so inakuwa U-levi... Hakikisha neno linakuwa na mantiki kwa mfano kusoma hapo huwezi andika u-kusoma, badala yake uta andika " U-somi"
Bado kuna changamoto, Sigara, siwezi kusema u sigara, sigara unavuta, kwa hiyo unasema uvutaji. Bado haiko specific. Labda hivi, ukivuta sigara unatoa moshi; umoshi. Bado.