Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

Ndo umemaliza?

"Ijue Historia ya Firauni na Uongo Aliozushiwa"

Je unaona ulichoandika kinaendana na heading?

Thread kama Bongo Movie.
Halafu tumuulize mtoa mada huo mwili ulipatikana baharini kaa vitabu vitakatifu vinavyosema. Labda atuambie umbali kutoka hayo makaburi mpaka baharini alipokutwa, na pia atuambie kwa kuwa kulikuwa na mafarao tofauti nyakati tofauti walijuaje huyu ni farao anayezungumziwa kwenye maandiko?
 
Farao sio jina bali ni title! Tuanze hapo kwanza! Alafu nakushauri u google upate idea kidogo tunacho kiongelea!
 
Pharao Asante sana kwa uchambuzi! Kitu cha kufanya ni kujiamini, kuwa na positive mind, iamini intuition and take action! Do not feel guilty au fear kwa past yako! Love your country with all your heart and soul! Everyday kuna jambo jipya chini ya jua! Remain blessed!
for sure Queen
 
@secretstar Naona umeandika mambo kadhaa Kumuhusu Amun, nami ngoja niandae maada hapa itakayotuambia, 'Ra' ndiye Yesu wa leo'
 
Sasa mbona neno firauni huwa linahusishwa na matendo mabaya, utasikia yule jamaa firauni sana amebaka mtoto, au lina maana zaidi y moja?
Acha ufirauni wako. Mapharao ndio waliokuwa watawala wa Misri , neno firauni tunalipa maana mbaya hasa kutokana na firauni wa kipindi wana wa Israel walipokuwa utumwani Misri walikuwa wanateswa na walipoamua kuondoka firauni na majeshi yske waliwafuatilia ili wawaue, lkn wakaangamia ktk ya bahari.
Tupo sahihi sana tunaposema acha ufirauni wako. Maana yake ,acha kabisa ubaya.
 
Farao sio jina bali ni title! Tuanze hapo kwanza! Alafu nakushauri u google upate idea kidogo tunacho kiongelea!
Soma vizuri nilichoandika kabla hujacomment. Nilisema kulikuwa na mafarao tofauti kwa nyakati tofauti hii ilitosha kukuonesha nafahamu farao ni title sio jina.
Pili swali langu ndo likaanzia hapo kwa kuwa kulikuwa mafarao wengi walijuaje mwili husika ni wa farao anayezungumziwa kwenye maandiko na siyo farao mwingine?
 
Ila samaki mmoja akioza, ni wote wameoza.
 
Secret Star Turudi hapo Ulipomzungumzia 'Amun' Nimepata mwanga sasa Amen ni nani! Unajua Kwa miaka mingi Mbuzi amekuwa akifananishwa na Maovu/Shetani! Kwa sasa tuna hawa watu wa siri wanajiita Freemason na Illuminati, hao Mungu wanaemuabudu ni Lucifer! ambapo wanamclone kama Ram!
021784200_1437971445-20150727-kontroversi_kuil_pemujaan_setan.jpg
18DEGREE.jpg

Isitoshe Freemason kila kitu katika miungu yao wanatoa kwenye Imani za wamisri wa kale! kama vile pyramid,Eye of Horus!
masonic_dollar.jpg

na wanaweka wazi kuwa moja ya misingi mikuu ya Miungu yao ni Horus, Osiris na Isis! Nimeelewa Amun ndiye shetan kwa jina jingine. Na ndo maana wamisri walisema yeye ni nguvu isiyoonekana hapo tunapata Picha shetani na uwezo wake wa kushawishi pasi kumuona!,
Cha ajabu imani zote zinadai zinamkemea shetani kumbe zinamtaja tena mwisho wa kufunga sala bila Kujua!
 
Soma vizuri nilichoandika kabla hujacomment. Nilisema kulikuwa na mafarao tofauti kwa nyakati tofauti hii ilitosha kukuonesha nafahamu farao ni title sio jina.
Pili swali langu ndo likaanzia hapo kwa kuwa kulikuwa mafarao wengi walijuaje mwili husika ni wa farao anayezungumziwa kwenye maandiko na siyo farao mwingine?
Umejichanganya kum specify! Anyway rudi tena kwenye Holy Bible Exodus 14:14-28, Farao hakuingia kwenye maji bali ni jeshi lake tu! Kama unamwongelea Farao wa kipindi cha Musa
 
Mzee swali lako naona kama la kitoto sana sijui wewe unalionaje? hebu nikuulize kaswali haka kadogo ukinijibu nadhani nawe utakuwa umeshapata jibu la swali lako bila hata mimi kukujibu!
Ni hivi, kati ya mimi na wewe ni nani anayetambua mambo yako na jinsi ulivyo kati ya ndugu zangu na ndugu zako?
 
Umejichanganya kum specify! Anyway rudi tena kwenye Holy Bible Exodus 14:14-28, Farao hakuingia kwenye maji bali ni jeshi lake tu! Kama unamwongelea Farao wa kipindi cha Musa
Hawa sijui wanatoka wapi!
 
Hata Yesu Kristo mwana wa Yoseph alikuwa mweusi tii na nywere za kipilipili! Na ndio sababu utotoni alifichwa Misri kumkwepa Herode, kama angekuwa mzungu kama tunavyoonyeshwa kwenye sinema huko Misri wasingemficha...ila kwakuwa alikuwa mweusi basi alichangwanywa na weusi wenzanke.
Lugha ya mifano aliyokuwa akiitumia Yesu kwa mujibu wa biblia, asili take ni hapa usukumani...wazungu hawafundushi kupitia mifano ya "mpanzi na mbengu zilizoanguka kandokando ya njia..."
Aiseee!
 
BAPHOMET / Sabbatic Goat
SabbaticGoat.jpg

Hahaa hapa ndo Utagundua wazo la kuletwa kwa mwenge lilitoka wapi!
Juu ya Kichwa cha Lucifer kuna mwenge uwakao!
 
Duh! wanadamu tunachezewa sana Akili!! Mambo yamefichwa kwa siri kuu!
Mbali na kumpinga ila Siku nitakayomuona Shetani Nitampigia makofi maana kwa mipango anatisha!
maxresdefault.jpg
 
Secret Star Turudi hapo Ulipomzungumzia 'Amun' Nimepata mwanga sasa Amen ni nani! Unajua Kwa miaka mingi Mbuzi amekuwa akifananishwa na Maovu/Shetani! Kwa sasa tuna hawa watu wa siri wanajiita Freemason na Illuminati, hao Mungu wanaemuabudu ni Lucifer! ambapo wanamclone kama Ram!
View attachment 506231View attachment 506232
Isitoshe Freemason kila kitu katika miungu yao wanatoa kwenye Imani za wamisri wa kale! kama vile pyramid,Eye of Horus!
View attachment 506234
na wanaweka wazi kuwa moja ya misingi mikuu ya Miungu yao ni Horus, Osiris na Isis! Nimeelewa Amun ndiye shetan kwa jina jingine. Na ndo maana wamisri walisema yeye ni nguvu isiyoonekana hapo tunapata Picha shetani na uwezo wake wa kushawishi pasi kumuona!,
Cha ajabu imani zote zinadai zinamkemea shetani kumbe zinamtaja tena mwisho wa kufunga sala bila Kujua!
Hapo ndipo watu wa pink wanapo cheza na akili za watu! Yeye kasema ni shetani alafu anamwamini na power zake anazichukuwa! Alafu watu wengine anawaonyesha barabara tofauti ambayo ameileta yeye alafu haipiti! Kwa kweli ningependa kuwa na akili ya huyu kiumbe na maujanja yake maana ni awesome piece of work!
 
Back
Top Bottom