Secret Star Turudi hapo Ulipomzungumzia 'Amun' Nimepata mwanga sasa Amen ni nani! Unajua Kwa miaka mingi Mbuzi amekuwa akifananishwa na Maovu/Shetani! Kwa sasa tuna hawa watu wa siri wanajiita Freemason na Illuminati, hao Mungu wanaemuabudu ni Lucifer! ambapo wanamclone kama Ram!
View attachment 506231View attachment 506232
Isitoshe Freemason kila kitu katika miungu yao wanatoa kwenye Imani za wamisri wa kale! kama vile pyramid,Eye of Horus!
View attachment 506234
na wanaweka wazi kuwa moja ya misingi mikuu ya Miungu yao ni Horus, Osiris na Isis! Nimeelewa Amun ndiye shetan kwa jina jingine. Na ndo maana wamisri walisema yeye ni nguvu isiyoonekana hapo tunapata Picha shetani na uwezo wake wa kushawishi pasi kumuona!,
Cha ajabu imani zote zinadai zinamkemea shetani kumbe zinamtaja tena mwisho wa kufunga sala bila Kujua!