Kuna mafumbo mengi katika hii thread, hope tutakuwa kwenye same page!Ni wazo zuri sana lakini kuanzisha group la whatsapp nafikiri tutawalimit watu sana humu JF ni kisima cha elimu watu wengi zaidi wanafuatilia huu uzi
Wachache sana watakuelewa mkuukuna mantiki hapa maana kama angekuwa mweupe si rahisi kwenda misri kwa weusi na kama angekuwa mweusi si rahisi kwenda misri yenye weupe
Halafu tumuulize mtoa mada huo mwili ulipatikana baharini kaa vitabu vitakatifu vinavyosema. Labda atuambie umbali kutoka hayo makaburi mpaka baharini alipokutwa, na pia atuambie kwa kuwa kulikuwa na mafarao tofauti nyakati tofauti walijuaje huyu ni farao anayezungumziwa kwenye maandiko?Ndo umemaliza?
"Ijue Historia ya Firauni na Uongo Aliozushiwa"
Je unaona ulichoandika kinaendana na heading?
Thread kama Bongo Movie.
Halafu tumuulize mtoa mada huo mwili ulipatikana baharini kaa vitabu vitakatifu vinavyosema. Labda atuambie umbali kutoka hayo makaburi mpaka baharini alipokutwa, na pia atuambie kwa kuwa kulikuwa na mafarao tofauti nyakati tofauti walijuaje huyu ni farao anayezungumziwa kwenye maandiko?
for sure QueenPharao Asante sana kwa uchambuzi! Kitu cha kufanya ni kujiamini, kuwa na positive mind, iamini intuition and take action! Do not feel guilty au fear kwa past yako! Love your country with all your heart and soul! Everyday kuna jambo jipya chini ya jua! Remain blessed!
Acha ufirauni wako. Mapharao ndio waliokuwa watawala wa Misri , neno firauni tunalipa maana mbaya hasa kutokana na firauni wa kipindi wana wa Israel walipokuwa utumwani Misri walikuwa wanateswa na walipoamua kuondoka firauni na majeshi yske waliwafuatilia ili wawaue, lkn wakaangamia ktk ya bahari.Sasa mbona neno firauni huwa linahusishwa na matendo mabaya, utasikia yule jamaa firauni sana amebaka mtoto, au lina maana zaidi y moja?
Soma vizuri nilichoandika kabla hujacomment. Nilisema kulikuwa na mafarao tofauti kwa nyakati tofauti hii ilitosha kukuonesha nafahamu farao ni title sio jina.Farao sio jina bali ni title! Tuanze hapo kwanza! Alafu nakushauri u google upate idea kidogo tunacho kiongelea!
Ila samaki mmoja akioza, ni wote wameoza.Soma vizuri nilichoandika kabla hujacomment. Nilisema kulikuwa na mafarao tofauti kwa nyakati tofauti hii ilitosha kukuonesha nafahamu farao ni title sio jina.
Pili swali langu ndo likaanzia hapo kwa kuwa kulikuwa mafarao wengi walijuaje mwili husika ni wa farao anayezungumziwa kwenye maandiko na siyo farao mwingine?
Umejichanganya kum specify! Anyway rudi tena kwenye Holy Bible Exodus 14:14-28, Farao hakuingia kwenye maji bali ni jeshi lake tu! Kama unamwongelea Farao wa kipindi cha MusaSoma vizuri nilichoandika kabla hujacomment. Nilisema kulikuwa na mafarao tofauti kwa nyakati tofauti hii ilitosha kukuonesha nafahamu farao ni title sio jina.
Pili swali langu ndo likaanzia hapo kwa kuwa kulikuwa mafarao wengi walijuaje mwili husika ni wa farao anayezungumziwa kwenye maandiko na siyo farao mwingine?
Mzee swali lako naona kama la kitoto sana sijui wewe unalionaje? hebu nikuulize kaswali haka kadogo ukinijibu nadhani nawe utakuwa umeshapata jibu la swali lako bila hata mimi kukujibu!Soma vizuri nilichoandika kabla hujacomment. Nilisema kulikuwa na mafarao tofauti kwa nyakati tofauti hii ilitosha kukuonesha nafahamu farao ni title sio jina.
Pili swali langu ndo likaanzia hapo kwa kuwa kulikuwa mafarao wengi walijuaje mwili husika ni wa farao anayezungumziwa kwenye maandiko na siyo farao mwingine?
Samaki mmoja akioza mtupe! unaweza kudhani wote wameoza ukamezwa na walio hai kwa kukariri!Ila samaki mmoja akioza, ni wote wameoza.
Hawa sijui wanatoka wapi!Umejichanganya kum specify! Anyway rudi tena kwenye Holy Bible Exodus 14:14-28, Farao hakuingia kwenye maji bali ni jeshi lake tu! Kama unamwongelea Farao wa kipindi cha Musa
Aiseee!Hata Yesu Kristo mwana wa Yoseph alikuwa mweusi tii na nywere za kipilipili! Na ndio sababu utotoni alifichwa Misri kumkwepa Herode, kama angekuwa mzungu kama tunavyoonyeshwa kwenye sinema huko Misri wasingemficha...ila kwakuwa alikuwa mweusi basi alichangwanywa na weusi wenzanke.
Lugha ya mifano aliyokuwa akiitumia Yesu kwa mujibu wa biblia, asili take ni hapa usukumani...wazungu hawafundushi kupitia mifano ya "mpanzi na mbengu zilizoanguka kandokando ya njia..."
Anaweza kuwa alikuwa kama Obamakuna mantiki hapa maana kama angekuwa mweupe si rahisi kwenda misri kwa weusi na kama angekuwa mweusi si rahisi kwenda misri yenye weupe
Hapo ndipo watu wa pink wanapo cheza na akili za watu! Yeye kasema ni shetani alafu anamwamini na power zake anazichukuwa! Alafu watu wengine anawaonyesha barabara tofauti ambayo ameileta yeye alafu haipiti! Kwa kweli ningependa kuwa na akili ya huyu kiumbe na maujanja yake maana ni awesome piece of work!Secret Star Turudi hapo Ulipomzungumzia 'Amun' Nimepata mwanga sasa Amen ni nani! Unajua Kwa miaka mingi Mbuzi amekuwa akifananishwa na Maovu/Shetani! Kwa sasa tuna hawa watu wa siri wanajiita Freemason na Illuminati, hao Mungu wanaemuabudu ni Lucifer! ambapo wanamclone kama Ram!
View attachment 506231View attachment 506232
Isitoshe Freemason kila kitu katika miungu yao wanatoa kwenye Imani za wamisri wa kale! kama vile pyramid,Eye of Horus!
View attachment 506234
na wanaweka wazi kuwa moja ya misingi mikuu ya Miungu yao ni Horus, Osiris na Isis! Nimeelewa Amun ndiye shetan kwa jina jingine. Na ndo maana wamisri walisema yeye ni nguvu isiyoonekana hapo tunapata Picha shetani na uwezo wake wa kushawishi pasi kumuona!,
Cha ajabu imani zote zinadai zinamkemea shetani kumbe zinamtaja tena mwisho wa kufunga sala bila Kujua!