Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

hii
kweli ni Ndebile
 
Dada kutambua kwamba kuna laana juu yetu si kwamba laana imeisha!.
La hasha! hebu kumbuka miaka ya kale. ambapo karibu wamisri wote walitambua kama kuna laana imewapitia!
Tangu kipindi cha great Rammeses ll hadi miaka mingi baadae wamisri walipoteza uwezo wao wote. mbali na Utawala wao kufa kabisa! Kilichofuata hapo ni Njaa, umasikini, kusimama Kiteknolojia, kutojitambua na mengine majanga mengine mengi.
Kwa mfano leo hapa tulipo inawezekana kati ya watu 10000 watakaosikia habari hizi ni wawili au mmoja ambao ndio wanaweza kulichukulia uzito.
Nawengine wote wataona ni upumbavu tu! hii ni sababu ya kuzibwa Macho wasione ili hali mambo yako wazi! Kama wazungu Toka mbali wanakuja kutumia Miungu yetu na wanafanikiwa kwa kifani iweje sisi tupo tupo tuu!
Kwenye laana huwa hawalaaniwi wote kabisa wanaweza kubaki wachache kwaajili ya kuokoa wenzao!
Kama Laana hiyo ingeekuwa imetoka Ndani ya miaka miwili tu ungeanza kushuhudia Maajabu Africa. kiuchumi. kiutawalla. na kiteknolojia. pia juo ndio utakuwa mwisho wa kuwa wategemezi.
Mimi naona laana bado ipo. ukisema haipo nikikuuliza ni nani ambaye aliitoa na aliitoaje?
Huu mwanga tunaouona sasa ni matokeo ya kuendelea sana kwa Wazungu!
Wasingetuletea mtandao wa internet, shule, magazine, tv na radio hata mimi na wewe tungekuwa bado gizani!
Ndo maana huwa nawaza kuwa mzungu kutupatia Teknolojia ni kosa kubwa amefanya! maana wajanja wote wataamka.
 
Kila unalo waza ndilo utakalo pata! Ndiyo maana mtu wa pink alicheza sana na imani ya watu, aka install uwoga katika kila jambo! Lakini uzuri ni kwamba kila kitu na wakati wake chini ya jua, juzi tu China na India pamoja na Urusi walikuwa masikini, sasa hivi angalia walipo! Alafu usim limit Mwenye Enzi Mungu kwani njia zake na za kwetu ni tofauti kabisa kama mbingu na nchi!
 
Mtu wa pink sawa katukoroga ila si kwa asilimia zote! inawezekana katukoroga kwa asilimia chache sana kuliko tulivyojikoroga wenyewe! pink wameanza kuingia Africa Miaka 250 au 300 iliyopita! Vipi sisi Tulioishi hapa nyumbani Bila Bugdha kwa miaka zaidi ya 3000 tangu Taifa la Israel Kukimbia misri? tulifanya kipi cha ajabu juu ya maarifa? zaidi ya kutumia vile vile vilivyobuniwa na wamisri ya kale?
 
Ndiyo maana nimekwambia kuna wakati wa kila kitu chini ya jua! Kipindi cha Alexander the Great Greece ilivyo kuwa, ungeamini kwamba wangeishia omba omba! Kumbuka Libya na Ghadafi! And so on..,
 
Hapa tuna piga story tu hakuna mwenye uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…