Naona Pharaoh amekujibu vizuri, lakini nitapinga kuwa tuko chini ya laana mpaka sasa hivi! LA HASHA! Kifungo kimeondolewa ndiyo maana tunapata hii insight! Awakening or Returning of the Gods and Goddess ! Ukija kwenye kuwafuatilia kwa karibu hawa ma babu na bibi zetu wa kale, huyu huyu mtu wa pink ameivuruga historia yao sana! Ndiyo maana unaisoma alafu unaona ni kama vurugu flani hivi! Ukienda India utaona watu wa kule wana miungu kibao, kwa hiyo ni sawa na kipindi hicho Misri
. Wamisri na Waisrael walikuwa wote wana rangi moja kama sisi tulivyo, ndiyo maana mtoto Mussa akalelewa na binti Pharaoh kama mmisri bila kujulikana kama alikuwa ni myahudi!
Dada kutambua kwamba kuna laana juu yetu si kwamba laana imeisha!.
La hasha! hebu kumbuka miaka ya kale. ambapo karibu wamisri wote walitambua kama kuna laana imewapitia!
Tangu kipindi cha great Rammeses ll hadi miaka mingi baadae wamisri walipoteza uwezo wao wote. mbali na Utawala wao kufa kabisa! Kilichofuata hapo ni Njaa, umasikini, kusimama Kiteknolojia, kutojitambua na mengine majanga mengine mengi.
Kwa mfano leo hapa tulipo inawezekana kati ya watu 10000 watakaosikia habari hizi ni wawili au mmoja ambao ndio wanaweza kulichukulia uzito.
Nawengine wote wataona ni upumbavu tu! hii ni sababu ya kuzibwa Macho wasione ili hali mambo yako wazi! Kama wazungu Toka mbali wanakuja kutumia Miungu yetu na wanafanikiwa kwa kifani iweje sisi tupo tupo tuu!
Kwenye laana huwa hawalaaniwi wote kabisa wanaweza kubaki wachache kwaajili ya kuokoa wenzao!
Kama Laana hiyo ingeekuwa imetoka Ndani ya miaka miwili tu ungeanza kushuhudia Maajabu Africa. kiuchumi. kiutawalla. na kiteknolojia. pia juo ndio utakuwa mwisho wa kuwa wategemezi.
Mimi naona laana bado ipo. ukisema haipo nikikuuliza ni nani ambaye aliitoa na aliitoaje?
Huu mwanga tunaouona sasa ni matokeo ya kuendelea sana kwa Wazungu!
Wasingetuletea mtandao wa internet, shule, magazine, tv na radio hata mimi na wewe tungekuwa bado gizani!
Ndo maana huwa nawaza kuwa mzungu kutupatia Teknolojia ni kosa kubwa amefanya! maana wajanja wote wataamka.