Ukombozi wa mwisho wa taifa la Misri utahusisha ulimwengu wote bila kujali rangi wala kabila. Hii ndio Dunia Mpya ijayo, itakayokuwa haina Dini, rangi, wala kabila! huku tofauti za mipaka zote zikipotezwa!
Africa itaenda kuwa Paradise!(kimbilio la wanadamu wote kutoka kila pembe baada ya machafuko makuu yajayo) Na hapo ndipo heshima kwa kila mwanadamu itakapopatikana. Kwa sababu Misri waliamini kila race ina muda wake wa kutawala Dunia kwa aina yake! Walianza weusi!, wakaja Waarabu, wakafuata mataifa mengine na sasa Waasia (wachina) wanaenda kutawala kwa sababu ndiyo muda wao!. Mkubwa huwa ni mkubwa na heshima yake huwa haipotei hata ikikusudiwa ipotee! Hivyo watu wangu tuamini Heshima ya Taifa la Misri (Mtu mweusi) Itarudi kama zamani na kwa pamoja ulimwengu utaheshimiana.
SM-G955F Samsung S8+