Ijue historia ya kaburi la Sharif Abdushakur Salim Al Attas lililopo Samora, Posta Jijini Dar es Salaam

I could say the same to you..., giving a diagnosis from just one statement from a person (without knowing if he /she is a joker, drunk or a happy-go-lucky guy)..., you must have extreme confidence and knowledge in the given subject..., anyway tukiendelea both mimi na wewe tutakuwa hatutendei haki huu uzi..., sababu hatujajibu swali la muhusika....
 

Kutenda haki?! A Very relative term!

Most likely huna taarifa juu ya new term street named “spinning doctors!”

My case is well rested Chief, Shukran.
 
Kutenda haki?! A Very relative term!

Most likely huna taarifa juu ya new term street named “spinning doctors!”

My case is well rested Chief, Shukran.
By the way unajua jibu la swali la huyu mdau tumsaidie ?
Sababu naona hizi to and fro zitammalizia bundle lake bure, bila kupata alichotuomba kama wanajamii tumsaidie
 
Yawezekana wakati huo hilo eneo alipozikiwa,yeye ndiyo alikuwa mmiliki

Ova
 
Ni kaburi la Diwani Sharif Abdul Shakur L'aatasi
Fwatilia zaidi kuhusu jina hilo utapata majibu zaidi
 
[emoji1787]and you finally completed my morning!

Nasikia kuna jamaa aliitwa Moto aka Fire ndio chanzo cha Kituo cha Fire! [emoji28]
Pale fire kulikuwa na kanisa enzi hizo, mchungaji wa pale alikuwa akitumia neno 'fire' katika mahubiri yake na hapo ndipo likipozaliwa mtaa wa fire, utasikia mtu anasema naenda fire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…