Ijue historia ya kaburi la Sharif Abdushakur Salim Al Attas lililopo Samora, Posta Jijini Dar es Salaam

Nilisikia kwa mbali kwamba kuna mali za mjerumani humo ndani.

Nasikia alizikwa binadamu akiwa mzima akiwa na hizo treasures.
Na atakayejaribu kufukuwa anapigwa makofi na anayempiga hamuoni.
 
Kuna kaburi la siku nyingi sana mitaa ya Clock Tower posta dar es salaam

Ni karibu mita 300 hivi kusini mwa mnara wa saa jijini Dar es salam. Ipo bustani ya muda sana na inafikiriwa ipo hapo kama miaka 220 iliopita.

Upande wa Magharibi kuna Barabara ya Samora na India street huku upande wa Kaskazini na kusini kuna barabara ya Aggrey na Mosque street lakini upande wa Kusini mwa bustani hiyo ya kale kuna kaburi kongwe sana lisilokuwa na jina wala mwaka wala alama yoyote ile na limekuwa mahali hapo yapata miaka karibu 200 hivi.

JE, NI NANI HUYU ASIYEKUWA NA JINA?
Kwanini alizikwa mahali pale tena peke yake!!

Ni wachache sana wanajua siri ya kaburi hili la mtu asiyejulikana wala jina lake halipo hata mamlaka zimekaa kimya juu ya kaburi hili lililopotea hasa halmashauri ya jiji.

Mwili uliolala ndani ya kaburi hilo ni mwili wa mtu aliyeitwa wakati wa uhai wake Sharrif Abdul Shakur Sali'm L'attasi.

Mtu huyu alifariki dunia mwaka 1862 kabla Seyyid Majjid wa Oman na wakoloni wa Kijerumani kutua hapa nchini ndiye alizikwa mahala hapo.

Kwenye miaka hiyo wakati jiji la Dar es salaam likiitwa Mzizima eneo hilo kuanzia clock tower mpaka kule Magomeni likitawaliwa na Diwani Sharif Abdul L'aatasi ambaye ndio amelazwa hapo .

Wananzengo wa Mzizima pia wanaeleza kuwa Kaburi hilo lilijaribiwa kuondolewa na wakoloni wa Kijerumani lakini waliadhibiwa pasipo wao kujua, walikula mijeledi na mtu asiyeonekana.

Wengine walifukuzwa na nyuki hawaeleweki hao nyuki wametokea wapi wakaamua waliache na wakalijengea vizuri.

FB_IMG_1624727986802.jpg
 
Pale fire kulikuwa na kanisa enzi hizo, mchungaji wa pale alikuwa akitumia neno 'fire' katika mahubiri yake na hapo ndipo likipozaliwa mtaa wa fire, utasikia mtu anasema naenda fire
Au labda panaitwa fire kutokana na kikosi cha zimamoto ambacho maskan yake ipo pale
 
Kuna kaburi la siku nyingi sana mitaa ya Clock Tower posta dar es salaam

Ni karibu mita 300 hivi kusini mwa mnara wa saa jijini Dar es salam. Ipo bustani ya muda sana na inafikiriwa ipo hapo kama miaka 220 iliopita.
Upande wa Magharibi kuna Barabara ya Samora na India street huku upande wa
Kaskazini na kusini kuna barabara ya aggrey na mosque street lakini upande wa kusini mwa bustani hiyo ya kale kuna kaburi kongwe sana lisilokuwa na jina wala mwaka wala alama yeyote ile na limekua mahali hapo yapata miaka karibu 200 hivi
JE NI NANI HUYU ASIYEKUWA NA JINA?
Kwanini alizikwa mahali pale tena peke yake!!

Ni wachache sana wanajua siri ya kaburi hili la mtu asiyejulikana wala jina lake halipo hata mamlaka zimekaa kimya juu ya kaburi hili lililopotea hasa halmashauri ya jiji.

Mwili uliolala ndani ya kaburi hilo ni mwili wa mtu aliyeitwa wakati wa uhai wake Sharrif Abdul Shakur Sali'm L'attasi.

Mtu huyu alifariki dunia mwaka 1862 kabla Seyyid Majjid wa Oman na wakoloni wa kijerumani kutua hapa nchini ndiye alizikwa mahala hapo.
Kwenye miaka hiyo wakati jiji la Dar es salaam likiitwa Mzizima eneo hilo kuanzia clock tower mpaka kule. Magomeni likitawaliwa na Diwani Sharif Abdul L'aatasi
Ambaye ndio amelazwa hapo .
Wananzengo wa mzizima pia wanaeleza kuwa
Kaburi hilo lilijaribiwa kuondolewa na wakoloni wa kijerumani lakini waliadhibiwa pasipo wao kujua, walikula mijeledi na mtu asiyeonekana.
Wengine walifukuzwa na nyuki hawaeleweki hao nyuki wametokea wapi wakaamua waliache na

View attachment 1831131
Kibongo bongo hapo watu si wanakaa na kupiga story na kunywa kahawa kabisa au nasema uongo nduvu zanguuuuu
Inabidi kufanya tafiti
www.jamiiforums.com/threads/ijue-historia-ya-kaburi-la-sharif-abdushakur-salim-al-attas-lililopo-samora-posta-jijini-dar-es-salaam.20647

Limeshajulikana ni la nani na Historia yake hiyo hapo.
 
Its true hilo kaburi lilikuwepo pale, sina uhakika kama bado lipo kwasababu sipo bongo,na kuna kipindi flani cha nyuma lilianza kubomolewa ikatokea ugomvi mkubwa kweli na mwishowe ndo likaachwa na kuwekewa hizo maru maru...
any one with clear maelezo please?
Bado lipo
 
Back
Top Bottom