Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au labda panaitwa fire kutokana na kikosi cha zimamoto ambacho maskan yake ipo palePale fire kulikuwa na kanisa enzi hizo, mchungaji wa pale alikuwa akitumia neno 'fire' katika mahubiri yake na hapo ndipo likipozaliwa mtaa wa fire, utasikia mtu anasema naenda fire
Kuna kaburi la siku nyingi sana mitaa ya Clock Tower posta dar es salaam
Ni karibu mita 300 hivi kusini mwa mnara wa saa jijini Dar es salam. Ipo bustani ya muda sana na inafikiriwa ipo hapo kama miaka 220 iliopita.
Upande wa Magharibi kuna Barabara ya Samora na India street huku upande wa
Kaskazini na kusini kuna barabara ya aggrey na mosque street lakini upande wa kusini mwa bustani hiyo ya kale kuna kaburi kongwe sana lisilokuwa na jina wala mwaka wala alama yeyote ile na limekua mahali hapo yapata miaka karibu 200 hivi
JE NI NANI HUYU ASIYEKUWA NA JINA?
Kwanini alizikwa mahali pale tena peke yake!!
Ni wachache sana wanajua siri ya kaburi hili la mtu asiyejulikana wala jina lake halipo hata mamlaka zimekaa kimya juu ya kaburi hili lililopotea hasa halmashauri ya jiji.
Mwili uliolala ndani ya kaburi hilo ni mwili wa mtu aliyeitwa wakati wa uhai wake Sharrif Abdul Shakur Sali'm L'attasi.
Mtu huyu alifariki dunia mwaka 1862 kabla Seyyid Majjid wa Oman na wakoloni wa kijerumani kutua hapa nchini ndiye alizikwa mahala hapo.
Kwenye miaka hiyo wakati jiji la Dar es salaam likiitwa Mzizima eneo hilo kuanzia clock tower mpaka kule. Magomeni likitawaliwa na Diwani Sharif Abdul L'aatasi
Ambaye ndio amelazwa hapo .
Wananzengo wa mzizima pia wanaeleza kuwa
Kaburi hilo lilijaribiwa kuondolewa na wakoloni wa kijerumani lakini waliadhibiwa pasipo wao kujua, walikula mijeledi na mtu asiyeonekana.
Wengine walifukuzwa na nyuki hawaeleweki hao nyuki wametokea wapi wakaamua waliache na

Wengine walifukuzwa na nyuki hawaeleweki hao nyuki wametokea wapi wakaamua waliache na wakalijengea vizuri.
View attachment 1831131
Kibongo bongo hapo watu si wanakaa na kupiga story na kunywa kahawa kabisa au nasema uongo nduvu zanguuuuu
www.jamiiforums.com/threads/ijue-historia-ya-kaburi-la-sharif-abdushakur-salim-al-attas-lililopo-samora-posta-jijini-dar-es-salaam.20647Inabidi kufanya tafiti
Na huo ndio ukweli achana na nadharia za huyo hapo juuAu labda panaitwa fire kutokana na kikosi cha zimamoto ambacho maskan yake ipo pale
Au labda panaitwa fire kutokana na kikosi cha zimamoto ambacho maskan yake ipo pale
Ile zimamoto ni ya juzi tuu hapo ila ilo neno limeanza tangu wakoloni walipojenga kanisa na ndilo likahamishiwa kule karibu na bahariniNa huo ndio ukweli achana na nadharia za huyo hapo juu
Sema wakupe 200000 ya kazi weweTea Kama tea nyingine tu me wanipe kazi nilibomoe posho 20000
Bado lipoIts true hilo kaburi lilikuwepo pale, sina uhakika kama bado lipo kwasababu sipo bongo,na kuna kipindi flani cha nyuma lilianza kubomolewa ikatokea ugomvi mkubwa kweli na mwishowe ndo likaachwa na kuwekewa hizo maru maru...
any one with clear maelezo please?
... hebu elaborate zaidi tafadhali.Ipo siku tu litaondolewa kama lile la Kiyeuyeu kule iringa
Langu hamtaliwezaIpo siku tu litaondolewa kama lile la Kiyeuyeu kule iringa
Haaa wapi,walimwengu awashindwi kitu wataliweza tu.Langu hamtaliweza
Subiri nife.. Watajua hawajuiHaaa wapi,walimwengu awashindwi kitu wataliweza tu.
Hio avatar wewe au?
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Pale fire kulikuwa na kanisa enzi hizo, mchungaji wa pale alikuwa akitumia neno 'fire' katika mahubiri yake na hapo ndipo likipozaliwa mtaa wa fire, utasikia mtu anasema naenda fire
Mkwere kama mkwere...
Amelikuta kivipi?!
Huyo.mzee hapo anakufa mkwere yupo duniani..
Limeachwa pale kwa maana zake..