Nibiru X
JF-Expert Member
- Jun 30, 2019
- 425
- 436
Hapo umemaliza
Kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo umemaliza
Jamie forum ndo kila kitu, kila swali litapata Jibu!
Kama asingeuliza hata mimi nisingejua nilibanwa na haja ndogo diku moja nikapita pale nikaona kaburi. Hata mimi nitamani kujua habari zake, sasa asimgekuja humu hio hanari ingetupita wengi.Unataka kutuaminisha nini?
Je alizikwa kabla ya mji kupanuka au baada ya mji kupanuka?
Kama kuna mtu anafanya usafi eneo hilo, kwa nini usimuhulize ni kaburi la nani?
Ukitaka kufahamu zaidi, nenda ukashirikiane na wanaoenda kuabudu pale
Kama asingeuliza hata mimi nisingejua nilibanwa na haja ndogo diku moja nikapita pale nikaona kaburi. Hata mimi nitamani kujua habari zake, sasa asimgekuja humu hio hanari ingetupita wengi.
Yapata meta 300 hivi kusini mwa mnara wa saa jijini Dar es salam ipo bustani ya mda sana kama miaka 220 iliopita upande wa magharibi kuna Barbara ya samora samora na India steet huku upande wa kaskazini Na kusini kuna barabara ya aggrey na mosque street lakini upande wa kusini mwa mwa bustani hiyo ya kale kuna kaburi kongwe sana lisilokuwa na jina wala mwaka wala alama yeyote ile limekua mahali hapo yapata miaka karibu 200 hivi
Je ni nani huyu asiyekua hana jina ?
Kwanini alizikwa mahali pale tena peke yake!!
Twende sasa taratibu.....
Ni wachache sana wanajua siri ya kaburi hili la mtu asijulikana wala jina lake halipo hata mamlaka zimekaa kimya juu ya kaburi hili lililopotea hasa halmashauri ya jiji
Sharrif Abdul Shakur Sali'm L'attasi alifariki dunia mwaka 1862 kabla Seyyid Majjid wa Oman na wakoloni wa kijerumani kutua hapa nchini ndie alizikwa hapo
Kwenye miaka hiyo wakati jiji la Dar es salaam paliitwa Mzizima eneo hilo kuanzia clock tower mpaka kule. Magomeni likitawaliwa na Diwani Sharif Abdul L'aatasi
Ambaye ndio amelazwa hapo peke yake
Kwanini alizikwa mahali pale?
Ni maswali ya kujiuliza kaburi katikati ya mji lisilo na jinalimekujaje hapo
Jibu hili hapa....
Mnamo mwaka 1820 ulikuwapo msikiti ambao ulijengwa na Huyu bwana Sharif Abdul L'aatasi kwa kusaidiana na Wandugu wengine wa Mzizima wakati huo
Msikiti huo wa udongo wa kuchoma na miti uliendelea kuwako hadi mwaka 1865 wakati Sayyed Majjid akiishi jumba alilojenga ambalo sasa ni ikulu ya Magogoni
Wakoloni walipokuja wa kujerumani mnano 1885 baada ya kifo cha Sayyed Majid walifanya kazi na Laatasi kama Kadhi mkuu mpaka alipofariki dunia
Diwani Laataasi Sharif ni mzaliwa wa Mzizima lakini anaasili ya damu ya Uajemi au Persian alikuwa maarufu sana pia aliaminika sana na Wajerumani alifariki mwaka 1860 hivi na kuzikwa nje karibu na msikiti wake
Mwanae Omary Salem L'aatasi alirithi kiti kama Kadhi mkuu
Wakati ule ulitokea mgongano mkubwa kati ya watu na imani zao hasa baada ya wajerumani kujenga maeneo. Hayo na shughuli za kijamii eneo LA msikiti wa L'aatasi hivyo ilibidi msikiti ule uhamishwe na watachangia kujenga msikiti mpya
Basi wajerumani walitoa rupee 50 kama fidia ya jengo jipya lakini ilitoka udhuru kaburi la Diwani Sharif Abdul Shakur L'aatasi na kutunza kumbukumbu
Eneo. Jipya lililojengwa msikiti likawa ndio hapo Msikiti wa Ijumaa wa Kitumbini ulipo kwa sasa
Kwa kawaida Wakoloni hasa wajerumani wanaheshimu Sana makaburi hasa ya watu ambao walisaidiana na wenzao kipindi cha ukoloni
Hivyo kaburi lake likabakia pale pale hadi Leo ambalo halikuandikwa jina(Kaburi la Asienajina) mjini kabisa
Watu siku hizi wamegeuza kiti cha kupunga upepo kaburi hilo
Usiku huumkuu weka hata kapicha basi tulione
huku niliko mbona jua linawakaUsiku huu
atakua mzanzibari huyu, kule hawafundishi somo la historia shuleni hivyo kila mtu anajiongeza na 'fantasies' zake.Kwahiyo Ikulu ya Magogoni ilijengwa na Seyid Majid na sio Wajerumani?
Mimi napata shida kuelewa. Alifanya kazi na wajerumani waliofika 1885 ila alifariki 1860. Hebu pitia vizuri huu waya wako
Nimeishia hapo... Labda aje arekebisheMimi napata shida kuelewa. Alifanya kazi na wajerumani waliofika 1885 ila alifariki 1860. Hebu pitia vizuri huu waya wako