RITZ,
Unahabari zozote kuhusu mazishi ya Mzee A.Sykes? wapi atazikwa? jee, kama atazikwa nyumbani mazishi yatakuwa na hadhi ya kitaifa? au yatakuwa kama ya Kaka ake Abdulwahid?
Tunaomba picha yake. Ana undugu na Dull Sykes

Nilishawahi kumsikia Dully (Abdul) Sykes akisema kuwa Mzee Sykes ni ndugu yake lakini nimesahau wanarelate vipi kama ni babu au baba mkubwa. Wenye kujua zaidi wanaweza kutusaidia.
Sote ni wa Mungu na kwake tutarejea!Pumzika kwa amani mzee Sykes.
Nafikiri wanaweza wakawa wana undugu maana Dully naye ni wakariakoo, ngojea mkuu Ritz aje atoe ufafanuzi...
R.I.P Ally Sykes. Ritz hivi Abbas si ndiye anajiita Abby Sykes, Baba yake na Dully Sykes?
Huwa namwona uvaaji wake wa ki-check Bob hivi na anapenda sana mziki. Yuko wapi siku hizi?
Na yeye ni muislam?
cc Mohamed Said
Dully (Abduli), Kleist, Sykes. Inaonekana hii familia ilikuwa inapenda sana umagharibi. Anyway, tunatoa pole kwa kuwa uzi umeletwa hapa jamvini ila kimsingi hauna hadhi ya "Breaking News" wala sio issue nzito kihivyo kwa taifa.
Kafa kama maelfu ya watanganyika wengine wanavyokufa kila siku tena kwa kukosa huduma za msingi ambazo ni haki yao kikatiba. Kila kifo kinachotokea nchini kikiletwa hapa JF sijui itakuwaje. Sometimes, mambo ya familia yaishie huko huko kwenye familia na anakoabudu badala ya kuya-publicise bila sababu za msingi.
CC: Ritz, Yericko Nyerere

We mchimvi! humjui Ally Sykes na mchango wake ktk kupigania uhuru wa nchi hii! kama sio hawo mashujaa leo usingekuwa na ubavu wa kuropoka hivyo na kuishi huru! ungekuwa bado unatawaliwa na wazungu!
Mzee Ally Sykes ni mtu muhimu ktk harakati za kupigania uhuru hivyo kifo chake lazima kiwe ni Breaking News! sio sawa na kifo chako wewe ambae wazazi wako huenda walikuwa wafanyakazi wa Wakoloni na kuogopa kujiunga na Tanu wakati wa harakati za Uhuru!
Kama leo angekufa Mnyika au Tundu Lisu sidhani kama ungekuja na kauli hiyo ya kichimvi! na labda ni wewe ndio ungeibukia hapa na kupost breaking news ya kifo cha viongozi wako wa CDM! lakini Ally Sykes kifo chake si lolote kwako! Waombe radhi wanafamilia ya Sykes kwa kuwadhalilisha ktk JF huku wakiombeleza msiba wa kipenzi chao na kipenzi cha wazalendo wa nchi hii!!