Ijue Jamhuri ya Watu wa SOGODO, Kinondoni

Dah...hizo docho ulizozitaja umenikumbusha mbali

Ova
 
Nakumbuka mtaa wa first in ulikuwa unaitwa mahakama ya simu..njia panda ya kwenda manzese,..
Mwizi,mkabaji aliyesumbua mbaya kipande hicho alikuwa smbdy kidile...
Jamaa alipora kaba sana watu...
Wazee walimngoaga
Jamaa alikuwa anapiga sana mpira sema mhuni

Ova
 
Aisee!
 
Kinondoni huko kulikojaa mashoga, mapunga au kinondoni ipi?
 
Paul Siza, Duh! Kinondoni B. Biafra. Namkumbuka sana huyu Big brother. Kumbe ndivyo alivyofariki? Kama namuona vile mitaa ya Lang'ata akiwa Bouncer. Ndio tatizo la maisha ya uhalifu, yanaanza kimasihara, baadae unaanza kufanya kweli. Na mwisho wake sio mzuri.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yah kweli kabisa....alijitakiaga mwenyewe

Ila alishaonywa

Ova
 
Tulioishi mitaa ya kuanzia kwa mbonde,suka,mbezi shule,mbezi kibanda cha mkaa,temboni,kibamba hospitali, kibamba kwa mangi, kibamba ccm,gogoni, kiluvya kwa komba Hivi ilikua ni Dar au tulikua tunaishi nje ya mji enzi zile za miaka ya 95 kuja mpk 2000. Maana gari tulikua tunapanda zinazotoka Msata zinaishia kariakoo.Haahaaaaaa
 
Yah kweli kabisa....alijitakiaga mwenyewe

Ila alishaonywa

Ova
Nilimfahamu sana enzi zile. Alikuwa anaishi maeneo ya Kinondoni B, karibia na Care Boys. Tabia yake ya kuvizia walevi chooni mitaa ya Lang'ata Disco yalikuwa yanajulikana sana mitaani Kinondoni.

Baadae nikaondoka Dar na sikuwahi kujua yaliyotoke. Taarifa za kifo chake nilizipata miaka kadhaa baadae, lakini sikujua alikufa vipi, mpaka ulivyoelezea hapo juu. Asante sana mkuu [emoji120][emoji120]
 
Nyie mlikuwa mnaishi BARA
 
Kwa sasa kinondi tunaita "nyumba za uridhi" vijana hawataki kuhama wala kufanya kazi wanasubira madingii wadanje wauze nyumba.
 
Hilo eneo Sogodo nalifahamu vyema sana, pale uswahili hasa ila hapakuwahi kuwa tishio.
Ila na ushenzi kishenzi, eneo lolile ni la wazi, pia ni bonde na dampo watu wakalivamia wakavifuta vyote.
Ila sasa hivi nyumba zinazidi kudidimia kila mwaka. Nyingine madirisha yameshafika usawa wa ardhi.
 
Ndio pale yule Diwani SONGORO MNYONGE wa CCM kajimilikisha [bwawani-mwananyamala]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…