Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Mkuu naheshimu maoni yako sana, ila achana na mitazamo ya Nyerere itakupotezea focus.Mwalimu alitabiri mpinzani atakuja kutoka humo humo ndani !!
Yaliyopita yalikuwa ni mfano tu wa huyo mpinzani aliyetabiriwa !
Tena atakuwa hana papara na atasaidiwa na wao kufika pale kwenye kiti kikuu kisha mambo ndipo yatakapo badilika !!
Hakuna atakaye amini macho yake !!
Hii ni kama ndoto lakini ndivyo itakavyokua !! Ufunuo 🙏🙏🙏