Ijue KADCO, kampuni hewa iliyokuwa ikiendesha uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport

Ijue KADCO, kampuni hewa iliyokuwa ikiendesha uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport

𝗥𝗘𝗩𝗘𝗔𝗟𝗘𝗗: 𝗛𝗼𝘄 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝘀𝗶𝗴𝗻𝗲𝗱 𝗮 𝗰𝗿𝗮𝘇𝘆 𝗱𝗲𝗮𝗹 𝘄𝗶𝘁𝗵 𝗮 𝗺𝘆𝘀𝘁𝗲𝗿𝘆 𝗰𝗼𝗺𝗽𝗮𝗻𝘆 𝘁𝗼 𝗼𝗽𝗲𝗿𝗮𝘁𝗲 𝘁𝗵𝗲 𝗰𝗼𝘂𝗻𝘁𝗿𝘆'𝘀 𝗺𝗮𝗶𝗻 𝘁𝗼𝘂𝗿𝗶𝘀𝘁 𝗮𝗶𝗿𝗽𝗼𝗿𝘁

The government announced today that Kilimanjaro International Airport (KIA) will finally be handed over to the state-run Tanzania Airports Authority (TAA) tomorrow, but the real beneficiaries of KADCO, the company that operated the airport for
Sasa hapo ndipo wale wenye uchungu na mali za Nchi hii wangetoa sauti zao ili zikasikike pande zote za Dunia kwamba Nchi imeuzwa !!
Au kuuzwa ni kwa Dipiwedi tu ??!!! 🙏🙏😱🇹🇿
 
Kijani wametubia sana ipo siku wahusika watazirudisha kodi zetu ni suala la muda tu tunataka katiba mpya kuondosha hao wezi
Wahenga walisemaga kila lenye mwanzo lina mwisho !!
Mwalimu Nyerere alisemaga upinzani wa kweli kabisa kabisa utakuja kutoka ndani ya Ccm yenyewe !!
Ngoja Tusubiri tuone !
 
Na ndio hawa hawa tunawaamini kwenye Mikataba mingine ya SIRI ya BANDARI kwamba watafanya the Right thing kwa Manufaa ya UMMA ?!!!!!

Nilishasema kabla na ninasema tena bila Transparency tutaendelea kupigwa till Kingdom Come.....
Mkuu fuatilia vizuri, hata hiyo DP World ni hawahawa watanzania wenzetu. Ndio maana unakuta rais wetu ana sign, lakini hakuna sign za mtawala wa Dubai kwenye huo mkataba. Yaleyale ya wamiliki wa Dowans tukaletewa muarabu kuwa ndio mmliki na hataki kupigwa picha!
 
Man, let's face it. Hakuna Mystery hapo.

Serikali inayo majibu yote. Ni vile hakuna anayeweza kuilazimisha serikali itoe majibu yanayoeleweka. Hakuna wa kuiwajibisha.

Nchi yetu ina aina ya watu wa kugawana vipande.Mimi nile huku, nyie kuleni huko. Tusifuatiliane! Muda ukifika mambo yakabuma, kila mtu hajui kitu.

What a Sad Country?

Imagine, mkataba upo na umesainiwa lakini maelezo mengine hakuna! Hakuna taarifa za aliyesainisha mkataba ni nani? Aliyeandaa huo mkataba na kuupitisha ni nani? Kwanini mapato yalikua hayaendi serikalini? Au kama mapato yalikua yanatumwa lakini hayafiki, aliyekua anayachukua kihuni ni nani?

Ni kwanini sintofahamu itokee after f*cking two decades and a half? Hiyo miaka mingine watendaji walikua wamelala ndio wameamka this November au?

Hakuna mystery hapo. Airport inatafutiwa Angle nyingine ya kupigwa for next decades.

Mjiandae pia na mystery ya Bandari 25 yrs later
Duh 🙄 !!
 
Ndio maana wanapora chaguzi za nchi kwani wanajua wakingia wengine madarakani, kwa uchafu huu wataishia jela.
Mwalimu alitabiri mpinzani atakuja kutoka humo humo ndani !!
Yaliyopita yalikuwa ni mfano tu wa huyo mpinzani aliyetabiriwa !
Tena atakuwa hana papara na atasaidiwa na wao kufika pale kwenye kiti kikuu kisha mambo ndipo yatakapo badilika !!
Hakuna atakaye amini macho yake !!
Hii ni kama ndoto lakini ndivyo itakavyokua !! Ufunuo 🙏🙏🙏
 
Maofisi ya umma yamejaa madigrii tele yanayovunda uozo wa wizi kuanzia kwenye nafasi za kisiasa mpaka utendaji.Hii KADCO ni muendelezo ule ule wa WIZI KABAMBE nchini kama EPA,ESCROW,MEREMETA,IPTL,MWANANCHI GOLD,NDEGE MKWECHE YA RAIS,RADA MKWECHE,ECONOMIC STIMULUS PACKAGE n.k. Ni wizi wa kigenge.Na matukio haya naziona ishara kwamba kuna genge hatari nchi hii lina nguvu kubwa mno na lisilogusika.Ni genge mfano wa Mafia na Yakuza.
 
Kweli miaka 25 hakuna ata wa kushtuka??halafu hakuna ata atakaewahibishwa kuchukua mapato for 25 years.. .afu unasema tuna serikali sijui kazi iendelee....hamna kitu
Halafu bin zero anapanda qatari air way kwenda kwenda kuomba just bi 40 na matzo juu lakini wapi anaacha kukusanya trillion of money

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
𝗥𝗘𝗩𝗘𝗔𝗟𝗘𝗗: 𝗛𝗼𝘄 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝘀𝗶𝗴𝗻𝗲𝗱 𝗮 𝗰𝗿𝗮𝘇𝘆 𝗱𝗲𝗮𝗹 𝘄𝗶𝘁𝗵 𝗮 𝗺𝘆𝘀𝘁𝗲𝗿𝘆 𝗰𝗼𝗺𝗽𝗮𝗻𝘆 𝘁𝗼 𝗼𝗽𝗲𝗿𝗮𝘁𝗲 𝘁𝗵𝗲 𝗰𝗼𝘂𝗻𝘁𝗿𝘆'𝘀 𝗺𝗮𝗶𝗻 𝘁𝗼𝘂𝗿𝗶𝘀𝘁 𝗮𝗶𝗿𝗽𝗼𝗿𝘁

The government announced today that Kilimanjaro International Airport (KIA) will finally be handed over to the state-run Tanzania Airports Authority (TAA) tomorrow, but the real beneficiaries of KADCO, the company that operated the airport for 25 years and collected billions in revenues without paying ANY CONCESSION FEE, remain shrouded in mystery

* KIA is the third-busiest airport in Tanzania and is the gateway to the country's main safari tourism hotspots in the northern circuit

CHRONOLOGY OF EVENTS:

✅ 11 March 1998, Kilimanjaro Airports Development Company Limited (KADCO) is registered at BRELA, with mystery shareholders Mott MacDonald International Ltd (99%) and Inter Consult Ltd (1%)

✅ Just 3 months after KADCO was registered (17 July 1998), it enters into a new shareholding agreement, where the Tanzania government got 24% of the shares of the company, Mott MacDonald International Ltd (41.4%), South Africa Infrastructure Fund (30%) and Inter Consult (T) Ltd (4.6%)

✅ On 10 November 1998, just 8 months after KADCO was established, the company signs a 25-year concession agreement with the Tanzania government, giving it exclusive rights to develop and operate KIA, despite having no track record nor previous experience in running an airport

✅ In 2006, the government reviewed the performance of KIA and discovered the following anomalies:

* Shareholders failed to invest in infrastructure upgrade at KIA, leading to poor performance of the airport

* KADCO was NOT PAYING any concession fee to the government for operating the airport despite collecting revenue. There was no concession fee clause in the agreement

* There is also no clause for TERMINATION of the concession in the agreement. The agreement only has a clause for renewal of the lease after every 15 years when the 25-year concession expires

* The concession agreement PROHIBITS the construction of any international airport within a 240km radius of any side of KIA, hence effectively giving KADCO exclusive rights to operate the only international airport in the region

✅ When government sought a review of the unconscionable terms of the concession agreement, the shareholders REJECTED any amendments. In 2009, the government decided to buy out the shareholders of the company and acquired 100% ownership of KADCO. It remains unclear how much the government PAID the shareholders to reliquish ownership

✅ KADCO continued to operate KIA, despite the government taking 100% ownership of the company amid audit queries from the CAG and Parliament on the WHEREABOUTS of revenue collected by KADCO as operator of the airport

✅ 9 November 2023, the Minister of Transport, Prof. Makame Mbarawa, announced in Parliament that KIA will now officially be handed over to TAA on 10 November 2023
IMG_9529.jpeg
 
Waliopiga hizi pesa Kwa miaka yote 25 wapo na hawatajwi.

Hii Nchi ipo siku
Mkuu wewe ni mtetezi sana wa hawa jamaa. Acha waendelee kupiga pesa maana wana watetezi kama wewe na wengine.

Kampuni ililipwa kila kitu na serikali ikanunua hisa zote lakini ajabu kampuni haikurudishwa serikalini bado ikawa kampuni binafsi na imepiga hela miaka 25 na hawajulikani.

Acha waendelee kupiga pesa
 
Back
Top Bottom