Wewe ni jinger kabisa. JK ni mgalatia? Analamba mgao wa million 400 wa IPTL kila siku kwa mda wa miaka 20 ijayo. RIZ1 ni mgalati? Home shopping ni centre ni mgalatia? Huyu dogo wa makontena kariakoo ni mgalatia. Mapapa wauza ngada ni wagalatia? Halafu yote hayo yana sijdah hayakosi kuswali mara tano kila siku.UTASKIA SISI WASOMII SISI WASOMII,KWA USOMI GANI WALIONAO ZAIDI ZAIDI YA WIZI NA KULITIA TAIFA HASARA TUH HAWA WAGALATIA
ExactlyTEC Wala hawakutoa waraka Wala kuhoji
Ilisikitisha Sana,za ndani inadaiwa Nyerere chozi lilimtoka kuuzwa benki yake,halafu aliowauzia wakamkopesha 500m,hiyo ni mwishoni 1990s,akaunza shirika jingine kwa thamani ya beberu 11Mfano mmoja Nbc iliuzwa kwa bei ya bure kabisa !!
Sumu inakutambaa...wezi wavaa sutiWewe ni jinger kabisa. JK ni mgalatia? Analamba mgao wa million 400 wa IPTL kila siku kwa mda wa miaka 20 ijayo. RIZ1 ni mgalati? Home shopping ni centre ni mgalatia? Huyu dogo wa makontena kariakoo ni mgalatia. Mapapa wauza ngada ni wagalatia? Halafu yote hayo yana sijdah hayakosi kuswali mara tano kila siku.
NYAU WEWE
Hebu tuonesheMzee wa Mtwara haitoki, una maana kwamba hakuna ufisadi mkubwa unaofanywa na Waislamu?
Wewe ni jinger kabisa. JK ni mgalatia? Analamba mgao wa million 400 wa IPTL kila siku kwa mda wa miaka 20 ijayo. RIZ1 ni mgalati? Home shopping ni centre ni mgalatia? Huyu dogo wa makontena kariakoo ni mgalatia. Mapapa wauza ngada ni wagalatia? Halafu yote hayo yana sijdah hayakosi kuswali mara tano kila siku.
NYAU WEWE
Una ushahidi jakaya kulamba mgao huo!?..rizwani kafisidi nini!?..home shopping ni mfanyabiashara hayupo serikalini,nyingi wezi,kwanza pesa za hazina mnapeleka kwenye biashara za afya za kanisa,bandarini mkaweka mipango kanisa lipitishe vitu bila ushuru,nyinyi ni janga kwa taifa,mkitawala njaa,shida,ubabe wa kihayawaniWewe ni jinger kabisa. JK ni mgalatia? Analamba mgao wa million 400 wa IPTL kila siku kwa mda wa miaka 20 ijayo. RIZ1 ni mgalati? Home shopping ni centre ni mgalatia? Huyu dogo wa makontena kariakoo ni mgalatia. Mapapa wauza ngada ni wagalatia? Halafu yote hayo yana sijdah hayakosi kuswali mara tano kila siku.
NYAU WEWE
Tunasubier msamaha wa giggy money wetu huko mbele ,kuhusu DP worldAlishaomba msamaha kupitia ,kitabu chako maisha yake na kusudio lake
Tunawajibu wakuchukua hatua Sahihi
Unawajua mkuu?Sio kweli wenye kampuni hawajulikani, wapo na wanafahamika
Hebu tuoneshe
Hii issue niliisikiliza wakati wa mjadala wa Bunge Jumamosi wiki liyopita. Niliona kama Mh. Spika alikuwa haelewi kilichokuwa kinaelezwa na alikuwa yuko sahihi 100%.๐ฅ๐๐ฉ๐๐๐๐๐: ๐๐ผ๐ ๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐๐ถ๐ด๐ป๐ฒ๐ฑ ๐ฎ ๐ฐ๐ฟ๐ฎ๐๐ ๐ฑ๐ฒ๐ฎ๐น ๐๐ถ๐๐ต ๐ฎ ๐บ๐๐๐๐ฒ๐ฟ๐ ๐ฐ๐ผ๐บ๐ฝ๐ฎ๐ป๐ ๐๐ผ ๐ผ๐ฝ๐ฒ๐ฟ๐ฎ๐๐ฒ ๐๐ต๐ฒ ๐ฐ๐ผ๐๐ป๐๐ฟ๐'๐ ๐บ๐ฎ๐ถ๐ป ๐๐ผ๐๐ฟ๐ถ๐๐ ๐ฎ๐ถ๐ฟ๐ฝ๐ผ๐ฟ๐
Wahi milembeAnza kwanza wewe...
Huwa sina mambo ya kusingizia dini au imani za watu kwa mambo ambayo yapo wazi watu wote wanafanya...
Hata wewe...!?๐ณ๐ณHuwa wanasoma ili waibe na ndio wanavyofundishwa tangu utoto wao
Siyo Kwa wazungu tu. Yuko duniani kote na kila nchi. Waliofanikiwa kupata ufahamu huu, walishamdhibiti na hawasumbui kama afanyavyo kwenye baadhi ya mataifa walio bado gizani, Tanzania ikiwemo!Huyo shetani kwa wazungu hayupo?
Umesema wewe. Na hasara hiyo uliyojitamkia mwenyewe na iwe kwako peke yako.Mijitu myeusi ni hasara tupu.
Haya ndiyo matokeo (products) ya uwepo wa nguvu hiyo inayotawala nchi au taifa fulaniPo pote pale duniani mambo ni yale yale tu - ubinafsi, uvivu, ufisadi wa kinyama, ushirikina...and the list goes on and on.
Suluhisho ndilo hilo. Kama huamini kuwa hilo ndilo suluhisho, basi wewe chukua bunduki kapambane na hao wanaofanya maamuzi tusiyoyapenda na tunayoyalalamikia uone kibano utakachokipata na bado utaendelea kutawaliwa na wao na kukufanya watakavyo..!Halafu badala ya kutafuta suluhisho mtambuka unakuja na ngonjera za mapepo na shetani.
Nisome hukoโ๏ธโ๏ธโ๏ธ juu nimeeleza kwa ufasaha na Kwa lugha rahisi.Huko nchi za Scandinavia hakuna mapepo? Walioendelea na kujenga transparent societies wakaushinda ufisadi huko shetani hayupo na mapepo hayafiki? Kwamba hawa wanaochota haya matrilioni siyo wao bali ni shetani na mapepo? Jizazi ๐ณ๐ณ๐ณ
Matumaini yapo..Kama ni hivi basi hakuna matumaini kwa mtu mweusi aisee - iwe ni Afrika, visiwa vya Caribbean, Australia, Haiti na kwingineko!
Absolutely, big YES..!Tupambaneni na shetani na mapepo ili kutokomeza ufisadi !!!
"ujinga wa kiroho"
Sasa mkuu kila leo wanasifia PhD wakati hata batteries hawajui inatengenezwa vipiHata wewe...!?๐ณ๐ณ
Eehe, wamekufanya nini?Walokole bana! ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Mimi ni mjinga wa kiroho mkuu. Nitasema nini sasa kwa mlokole aliyeiva katika ulimwengu wa kiroho na Neno + utakatifu kama wewe?Eehe, wamekufanya nini?
By the way, mpaka hapa hiki ndicho pekee unachoweza kukisema baada ya kujibu hoja zako?
Acha maneno ya kwenye khanga wewe Shimba ya Buyenze. Show that you're a true lion from Buyenze...
I need something digestable that will make me think and aknowledge you, pls......!
Walokole bhana[emoji28]Yaani shetani yuleyule wa miaka yote anaendelea kuwakamata viongozi wetu na kuwatumia kuharibu na kuumiza wananchi na nchi...