Ijue KADCO, kampuni hewa iliyokuwa ikiendesha uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport

Tunashukuru Kwa hizi taarifa. Lakini sijaziona kwenye magazeti yetu.
 
Wachaga ni wezi sana, hapo humkosi mbowe na mtei
Nadhani ipo haja ya michango yenye udini na ukabila kukatazwa humu JF. Hii ndiyo inayoturudisha nyuma. Chiembe Jitahidi kuwa mstaarabu zaidi
 
Unakumbuka scandal ya Radar?? Je inaweza unganishwa hapa au la?
 
Kuna mambo hata ukisoma unaishia kutukana tu matusi yasiyoeleweka.
Kuna watu waliuziana mgodi wa makaa ya mawe Kiwira kwa bei ya mchele tu
 
Kweli miaka 25 hakuna ata wa kushtuka??halafu hakuna ata atakaewahibishwa kuchukua mapato for 25 years.. .afu unasema tuna serikali sijui kazi iendelee....hamna kitu
Kinachoshangaza TRA walikuwa wapi? Wafanya biashara wadogo wakiweka ka meza tu barazani kuuza nyanya anakamuliwa mpaka anafunga biashara, na TAKUKURU?
 
Kuna mambo hata ukisoma unaishia kutukana tu matusi yasiyoeleweka.
Kuna watu waliuziana mgodi wa makaa ya mawe Kiwira kwa bei ya mchele tu
Hii naikumbuka kiasi, kama sikosei kampuni waliyoiandika imenunua mgodi ilikuwa na anuani ya Ikulu.
 
Hukumsikia mwenye udhubutu akikiri makaburi mengine yanamtisha?
 
Mkapa alikua hodari

Hizo share za South Africa Ni akina Mkapa, barozi mpungwe etc.wote hawako kwenye system ndo maana wanarundisha serikalini. Kuna watyu wametafuna pesa kwenye nchi hii, cha ajabu nao uzeeka na kufa. Akina mpungwe Sasa hivi hawezi maliza hata laki moja kwa kula, mzee sana, hata kutembea Ni shida sana.

Binadamu hatujui tuanchotafuta hapa duniani, uwe na majumba, mahotel ,pesa kwenye account zote Ni upepo tu. Watu wangapi wamekufa kwa kukosa hizo pesa kwenye matibabu, shule, maji safi, madawa etc. JPM angeweza kuvunja lakini kwa vile alikuwa kijana wa Mkapa akapotezea.
 
Kuna mzungu ashawahi kunukuliwa akisema, Tanzania ni sehemu unayoweza ingia na 100$, lakini baada ya mwaka ukawa bilionea...
Hilo li wazi kabisa, wapo wageni wameingia kwetu bila chochote na sasa ni ma Billionea wanaofanhamika dunia nzima. Hasa kipindi cha uchaguzi wanakuwa watu muhimu sana.
 
Mimi ndiyo maana nitapinga uwepo wa ccm maisha yangu yote. Hiki ni kikundi hatari sana kwenye mustakabari wa maendeleo ya kweli, ya Taifa letu.
Haina tofauti na yale magenge ya kina Pablo Escobar kule Amerika ya kusini
 
Haya maufisadi ya mkaa na Akina mramba
 
According to maelezo ya AG, serikali ilisha nunua hisa zote za kadco, ila sasa wanajiuma uma kuipeleks TAA
Kama KADCo hajawahi lipa fees yote serikali iligawa hisa Bure na ilnunua hisa hewa
Yaani unanunua hiza Kwa mwizi hi ni hatari??
 
Unakumbuka scandal ya Radar?? Je inaweza unganishwa hapa au la?
Hapana. Hiyo scandal ya radar ni rushwa (grand corruption) kati ya waliotumwa na serikali ya Tanzania kufanya hayo manunuzi na kampuni iliyokuwa inauza hizo radar na kupiga 100% badala ya 10% tuliyoizoea.

Haya ya KADCO, DP-WORLD na ANAEBEN kumilikishwa kwa natural wealth and resources za nchi yetu. KADCO walimilikishwa Kilimanjaro Airport na airspace ya radius ya kilomita 240 kuanzia KIA. DP-WORLD walitaka wamilikishwe bandari (maritime spaces) zetu zote za nchi yetu. ANAEBEN walikuwa wamemilikishwa natural resources zetu zote za huko Liganga na Mchuchuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ