Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Shhhhh!Walokole bhana[emoji28]
Haya ni mambo ya ulimwengu wa kiroho huyawezi Baba J. ๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shhhhh!Walokole bhana[emoji28]
Tunashukuru Kwa hizi taarifa. Lakini sijaziona kwenye magazeti yetu.๐ฅ๐๐ฉ๐๐๐๐๐: ๐๐ผ๐ ๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐๐ถ๐ด๐ป๐ฒ๐ฑ ๐ฎ ๐ฐ๐ฟ๐ฎ๐๐ ๐ฑ๐ฒ๐ฎ๐น ๐๐ถ๐๐ต ๐ฎ ๐บ๐๐๐๐ฒ๐ฟ๐ ๐ฐ๐ผ๐บ๐ฝ๐ฎ๐ป๐ ๐๐ผ ๐ผ๐ฝ๐ฒ๐ฟ๐ฎ๐๐ฒ ๐๐ต๐ฒ ๐ฐ๐ผ๐๐ป๐๐ฟ๐'๐ ๐บ๐ฎ๐ถ๐ป ๐๐ผ๐๐ฟ๐ถ๐๐ ๐ฎ๐ถ๐ฟ๐ฝ๐ผ๐ฟ๐
The government announced today that Kilimanjaro International Airport (KIA) will finally be handed over to the state-run
Kwani waislam nchi hii hawapigi madeal mzeeUSOMI PEKEE AMBAO WAGALATIA MNAO NI WIZI NA KUPIGA MADEAL TUH KULIANGAMIZA TAIFA
Shhhhh!
Haya ni mambo ya ulimwengu wa kiroho huyawezi Baba J. [emoji16][emoji16][emoji16]
MbaRawa na Ag walikuwa kama watoto wadogo wanaulizwa hiki wanajibu kileHii issue niliisikiliza wakati wa mjadala wa Bunge Jumamosi wiki liyopita. Niliona kama Mh. Spika alikuwa haelewi kilichokuwa kinaelezwa na alikuwa yuko sahihi 100%.
SIYO MMOJA ANAJUA, WOTE LAZIMA WANAJUA!Nakuhakikishia chenge,lowasa,karamagi,Anna tibaijuka mkpa lazima kuna mmoja anajua kilichokuwa kinaendelea.
Nadhani ipo haja ya michango yenye udini na ukabila kukatazwa humu JF. Hii ndiyo inayoturudisha nyuma. Chiembe Jitahidi kuwa mstaarabu zaidiWachaga ni wezi sana, hapo humkosi mbowe na mtei
Unakumbuka scandal ya Radar?? Je inaweza unganishwa hapa au la?Kumbe hii mikataba inayofanana na IGA ya DP-WORLD ilianza enzi ya Mkapa? Na Watanzania walikuwa wamelala muingereza huyo alipomilikishwa air space hiyo ambayo ni natural wealth yao. Na bila kelele za Watanzania wa sasa, huyu muingereza hewa alikuwa apewe kimya kimya miaka mingine 25 kuendelea kumiliki air space ya Kilimanjaro ya radius ya 240 kilometers.
Kinachoshangaza TRA walikuwa wapi? Wafanya biashara wadogo wakiweka ka meza tu barazani kuuza nyanya anakamuliwa mpaka anafunga biashara, na TAKUKURU?Kweli miaka 25 hakuna ata wa kushtuka??halafu hakuna ata atakaewahibishwa kuchukua mapato for 25 years.. .afu unasema tuna serikali sijui kazi iendelee....hamna kitu
Hii naikumbuka kiasi, kama sikosei kampuni waliyoiandika imenunua mgodi ilikuwa na anuani ya Ikulu.Kuna mambo hata ukisoma unaishia kutukana tu matusi yasiyoeleweka.
Kuna watu waliuziana mgodi wa makaa ya mawe Kiwira kwa bei ya mchele tu
Hukumsikia mwenye udhubutu akikiri makaburi mengine yanamtisha?Maofisi ya umma yamejaa madigrii tele yanayovunda uozo wa wizi kuanzia kwenye nafasi za kisiasa mpaka utendaji.Hii KADCO ni muendelezo ule ule wa WIZI KABAMBE nchini kama EPA,ESCROW,MEREMETA,IPTL,MWANANCHI GOLD,NDEGE MKWECHE YA RAIS,RADA MKWECHE,ECONOMIC STIMULUS PACKAGE n.k. Ni wizi wa kigenge.Na matukio haya naziona ishara kwamba kuna genge hatari nchi hii lina nguvu kubwa mno na lisilogusika.Ni genge mfano wa Mafia na Yakuza.
Mkapa alikua hodari
Hizo share za South Africa Ni akina Mkapa, barozi mpungwe etc.wote hawako kwenye system ndo maana wanarundisha serikalini. Kuna watyu wametafuna pesa kwenye nchi hii, cha ajabu nao uzeeka na kufa. Akina mpungwe Sasa hivi hawezi maliza hata laki moja kwa kula, mzee sana, hata kutembea Ni shida sana.๐ฅ๐๐ฉ๐๐๐๐๐: ๐๐ผ๐ ๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐๐ถ๐ด๐ป๐ฒ๐ฑ ๐ฎ ๐ฐ๐ฟ๐ฎ๐๐ ๐ฑ๐ฒ๐ฎ๐น ๐๐ถ๐๐ต ๐ฎ ๐บ๐๐๐๐ฒ๐ฟ๐ ๐ฐ๐ผ๐บ๐ฝ๐ฎ๐ป๐ ๐๐ผ ๐ผ๐ฝ๐ฒ๐ฟ๐ฎ๐๐ฒ ๐๐ต๐ฒ ๐ฐ๐ผ๐๐ป๐๐ฟ๐'๐ ๐บ๐ฎ๐ถ๐ป ๐๐ผ๐๐ฟ๐ถ๐๐ ๐ฎ๐ถ๐ฟ๐ฝ๐ผ๐ฟ๐
The government announced today that Kilimanjaro International Airport (KIA) will finally be handed over to the state-run Tanzania Airports Authority (TAA) tomorrow, but the real beneficiaries of KADCO, the company that operated the airport for Makame Mbarawa, announced in Parliament that KIA will now officially be handed over to TAA on 10 November 2023
Hilo li wazi kabisa, wapo wageni wameingia kwetu bila chochote na sasa ni ma Billionea wanaofanhamika dunia nzima. Hasa kipindi cha uchaguzi wanakuwa watu muhimu sana.Kuna mzungu ashawahi kunukuliwa akisema, Tanzania ni sehemu unayoweza ingia na 100$, lakini baada ya mwaka ukawa bilionea...
Haya maufisadi ya mkaa na Akina mramba๐ฅ๐๐ฉ๐๐๐๐๐: ๐๐ผ๐ ๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐๐ถ๐ด๐ป๐ฒ๐ฑ ๐ฎ ๐ฐ๐ฟ๐ฎ๐๐ ๐ฑ๐ฒ๐ฎ๐น ๐๐ถ๐๐ต ๐ฎ ๐บ๐๐๐๐ฒ๐ฟ๐ ๐ฐ๐ผ๐บ๐ฝ๐ฎ๐ป๐ ๐๐ผ ๐ผ๐ฝ๐ฒ๐ฟ๐ฎ๐๐ฒ ๐๐ต๐ฒ ๐ฐ๐ผ๐๐ป๐๐ฟ๐'๐ ๐บ๐ฎ๐ถ๐ป ๐๐ผ๐๐ฟ๐ถ๐๐ ๐ฎ๐ถ๐ฟ๐ฝ๐ผ๐ฟ๐
The government announced today that Kilimanjaro International Airport (KIA) will finally be handed over to the state-run
Na baba yake Mwalimu Nyerere alikuwa hai bado...!Mkapa alikua hodari
Kama KADCo hajawahi lipa fees yote serikali iligawa hisa Bure na ilnunua hisa hewaAccording to maelezo ya AG, serikali ilisha nunua hisa zote za kadco, ila sasa wanajiuma uma kuipeleks TAA
Hapana. Hiyo scandal ya radar ni rushwa (grand corruption) kati ya waliotumwa na serikali ya Tanzania kufanya hayo manunuzi na kampuni iliyokuwa inauza hizo radar na kupiga 100% badala ya 10% tuliyoizoea.Unakumbuka scandal ya Radar?? Je inaweza unganishwa hapa au la?