Ijue Kirumba jijini Mwanza kwa maandishi

Kweli Hali ilikua ngumu,nikikumbuka la kairo miaka Ile ilikua poa Sana.

Villa nasikia CCM wamempiga figisu hapo kwny eneo lao Ila Sina uhakika,nilisikia huyo jamaa wa Villa kuna sehemu anajenga club hapo Mwz Ila sikumbuki Ni sehemu gani.
Busweru huku isha kamilika ni bonge la kiwanja mwanza hakuna, labda malaika

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Asante mkuu, umetufumbua macho wengi. Wengi tulijuwa Kirumba ni uwanja wa mpira, na sio mtaa! Kwa hiyo picha tuliyokuwa tunapata mtu akisema nipo Kirumba basi tunajuwa yupo uwanja wa mpira, sawa na mtu akisema nipo taifa, tunajuwa yupo uwanja wa mpira wa taifa (Mkapa au Uhuru). Kumbe uwanja wa mpira wa Kirumba (CCM) uliukuta mtaa wa Kirumba upo tayari, na wala sio mtaa ulipewa jina la uwanja. Asante kwa ufafanuzi.
Tupo pamoja mkuu tunajuzana.
 
Kwa sasa Uwanja hauko Kirumba bali kata ya Kitangiri.
 
Mkuu umesahau na hili,kirumba huwa mchana ina uwanja wa kucheza mpira wa miguu miwili,ilq usiku upo uwanja wa kucheza mpira wa mguu mmoja,ila utofaut ni kwamba mpira wenyew uchezwa kuzungula nje ya uwanja
 
🤣🤣🤣 Ila usiku hawachezi mpira hao ni wanariadha wanao zunguka uwanja.
Meter 100
 
Asante mkuu, umetufumbua macho wengi. Wengi tulijuwa Kirumba ni uwanja wa mpira, na sio mtaa! Kwa hiyo picha tuliyokuwa tunapata mtu akisema nipo Kirumba basi tunajuwa yupo uwanja wa mpira, sawa na mtu akisema nipo taifa, tunajuwa yupo uwanja wa mpira wa taifa (Mkapa au Uhuru). Kumbe uwanja wa mpira wa Kirumba (CCM) uliukuta mtaa wa Kirumba upo tayari, na wala sio mtaa ulipewa jina la uwanja. Asante kwa ufafanuzi.
Kirumba uwanja umekuta jina hilo,zamani kirumba kulikua na waarabu wengi sana hiyo mitaa
 
Back
Top Bottom