Ijue Kirumba jijini Mwanza kwa maandishi

Ijue Kirumba jijini Mwanza kwa maandishi

Kirumba kwa pembeni ndio kulikuwa na nyayo za Bikira maria alitokea pale mitaa ya Ghana saa hivi wamejenga Mall pale...kirumba kama Kirumba,kama hujacheza mpira furahisha au baiko hata magomeni basi hujacheza mpira ukanda huu wa kirumba
 
Kumbe bikra maria amefika mwanza duh
 
Kuna inaitwa Akwagama Bar ipo nyuma ya villa park kwenye fremu za CCM , nitokea tunasoma chekechea mpaka na leo watoto wetu wapo stnd 7 ipo. Zaidi nimependa kile kibao namwandiko wake......
 
Mwenge ndio ipi hiyo?mana zamani zilikua shule mbili tu kirumba na kitangiri
Labda wewe mgeni Mwanza, na hiyo zamani unayosema sijui ni zamani ipi, shule kongwe hilo eneo ni Kirumba, Kitangiri, Mwenge na Makongoro, watu tumesoma hapo 80's useme zamani haikuwepo
 
Back
Top Bottom